Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,712
- 9,791
Inashangaza sana wakuu. Nitawapa mfano:
Mke wangu anafanya kazi somewhere, hata mshahara anaoulamba ni mnono, lakini nabaki kujiuliza pesa zake huwa anapeleka wapi? Sina shida nazo, ila natamani tu kujua. Coz mahitaji yake yote na ya mwanangu ni juu yangu japokuwa siishi naye. Hata pesa kwao huwa nafuatilia lakini hata kwao tu hawapatiwi maokoto, napo ni juu yangu. Swali la msingi, pesa anaweka wapi na lengo lake kuu hasa ni lipi? Ama anataka ajenge hotel?
Tuachane naye, turudi kwenye sekta ya moyo. Ni wagumu kueleza hisia zao kwa wawapendao. Kimachoniuma kuna binti nimemtongoza, alichonijibu ni kuwa kipindi cha nyuma alikuwa na hisia nami, lakini sikufanya juhudi yoyote kumteka, nowdays amekwisha pata wa kumfariji. Kinachoniwazisha, mbona kipindi hicho cha nyuma sikuona hisia zake kwangu? Alikuwa ni mtu fulani hivi busy na mambo yake, hata salamu kunipatia ilikuwa ni ngumu
Naomba kuhitimisha kwa utoto huu. Hawaeleweki kama tendo la ndoa huwapatia utamu ama maumivu, ukihoji wanazunguka zunguka mbuyu tu Ukiuliza kama ni tamu ni kwanini wanaligeuza mtaji, eti nauli utoe wewe, umzingatie msosi, uharibu nguvu zako kumzagamua, halafu umpatie posho. Umuite gheto ajivute vute kuja n.k (Natania)
Haya bhana wakulungwa...