Kipi kifuatacho baada ya ugunduzi wa dawa ya ukimwi/

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,841
Tutarajie nini baada ya dawa ya ukimwi kugundulika?
Miongoni mwa vichache ni:-
  • kuongezeka kwa ngono zembe
  • kuongezeka kwa watoto wasiotarajiwa.
  • kuongezeka kwa magonjwa ambukizi yatokanayo kujamiiana.
mengi mengi sana yanakuja....hebu na wewe ongezea kidogo
 
Swali kama hilo nilimwuliza rafiki yanngu, unajua akanijibu nini? (ofcoz kwa utani)
"Mauzo ya condoms yatashuka na Machangudoa watapanda thamani"
Nilicheka sana.
 
Kama kuna taarifa iliyofikishwa kwa walengwa kimakosa basi ni hii ya breakthrough kwenye dawa ya UKIMWI. Wataalam wanapaswa kuwahabarisha watu mapema wajue kuwa siyo kwamba sasa kuna dawa na hivyo watu wakangonoke kama hawana akili nzuri! Tatizo la UKIMWI liko pale pale na mtu usiende kujirusha kwenye moto kwa vile umesikia kuna kisima kinachimbwa jirani hivyo maji ya kuzima moto yatapatikana.By the time wanachota maji waje wajaribu kukuokoa ujue utakuwa ushateketea na kuwa majivu!
 
Yaani sasa shughuli ndio inaanza.
Nimeanza upyaaaa kunoa makucha.
Ni pigana mipenengo usiku na mchana bila kinga wala zana.
Utamu kupitiliza.... Mwanzo mwisho ni raha tupu.
 
Kama kuna taarifa iliyofikishwa kwa walengwa kimakosa basi ni hii ya breakthrough kwenye dawa ya UKIMWI. Wataalam wanapaswa kuwahabarisha watu mapema wajue kuwa siyo kwamba sasa kuna dawa na hivyo watu wakangonoke kama hawana akili nzuri! Tatizo la UKIMWI liko pale pale na mtu usiende kujirusha kwenye moto kwa vile umesikia kuna kisima kinachimbwa jirani hivyo maji ya kuzima moto yatapatikana.By the time wanachota maji waje wajaribu kukuokoa ujue utakuwa ushateketea na kuwa majivu!

You have delivered a nice msg Woman. Wandugu, we should consider the Woman's msg with regard to the saying that prevention is better than cure.
 
Dawa ya HIV/AIDS imepatikana lini?

BTW: Pamoja na kuwa na dawa tele za Malaria mbona inazidi kuua watu kuliko HIV/AIDS?

You can get an African from the BUSH...but... You can not get a BUSH out of an African
 
Back
Top Bottom