Kipanya awashukia askari wa trafiki

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Lisemwalo lazima litakuwepo tu.

Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.

Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama gari lako linadaiwa.

Wao akili zao wote ni kuangalia madeni na kukupiga faini tu hata kama gari lina mapungufu hawajali.

Hongera sana kipanya kwa kuendelea kuibua mapungufu kwenye jamii yetu ya watanzania.

Screenshot_20230519-084754_Instagram.jpg
 
Lisemwalo lazima litakuwepo tu.

Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.

Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama gari lako linadaiwa.

Wao akili zao wote ni kuangalia madeni na kukupiga faini tu hata kama gari lina mapungufu hawajali.

Hongera sana kipanya kwa kuendelea kuibua mapungufu kwenye jamii yetu ya watanzania.

View attachment 2627210
Nchi ngumu sana hii, wanatafuta ile billion 4 za kuzikana, zilizoyeyuka kwenye mazingira ya utata
 
Lisemwalo lazima litakuwepo tu.

Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.

Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama gari lako linadaiwa.

Wao akili zao wote ni kuangalia madeni na kukupiga faini tu hata kama gari lina mapungufu hawajali.

Hongera sana kipanya kwa kuendelea kuibua mapungufu kwenye jamii yetu ya watanzania.

View attachment 2627210
Sasa kazi ya traffic si kuangalia na madeni ya gari yanayohusu field yao ?!!!
 
Marafiki wite ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.

Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.

Mawee.
Una shida gani bibie!! Siku hizi una changamoto kubwa kwenye uandishi wako! Umeanza kupoteza uwezo wa kuona na kuandika, kutokana na uzee?

Angekuwa ameandika mtu mwingine haya maelezo yako hapa, ungemkosoa faster kwa kumwambia hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
 
Mkuu macho kupoteza uwezo wa kuona siyo issue maana kuna miwani
 
Back
Top Bottom