Kiongozi mkuu wa nchi yuko wapi? Wapiga kura wake wanakufa bila hatia!

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
mpaka sasa sijaelewa kwa nini kikwete hazungumzii mgomo wa madakitari??? au hili ni jambo dogo kwake?? hospital kuu inafungwa(muhimbili) kitakacho fata ni maandamano ya kuiondoa serikali madarakani ili kuweka serikari itakayo wajali wananchi wake.
 
Hawezikuwajali wananchi ambao hawakumchagua, ilibidi atumie juhudi zake binafsi kuchakachua hivyo wananchi nao watumie juhudi binafsi kuishi. Naona wale wengi waliomnyima kura wamesababisha maafa kwa wale wachache waliompigia kura.
On a serious note: Kwakweli uchaguzi ulikuwa unamanung'uniko mengi sana si bure hakuna kinachoenda sawa sawa. Kuanzia kura za maoni mpaka finally ni kasheshe tupu!
 
Binafsi sielewi sasa ni nini kikubwa kitakachotokea nchi hii kimfanye azungumze au aseme?jamani hata washauri hana,mi nachoka si aongee hata kama ahadi,hivi yupo kwa ajili gani?what is emergency to him?uwiiiiii nachoka mimi
 
Mwenzenu ana hasira na nyie kibao aongee na nyie awaambie nini? Kwanza mlimwita DHAIFU hadharani, kisha mkamwekea kiwingu asiweze kumpokea WEMA na mgeni wake pale magogoni, na kama vile haitoshi mkaanza kupiga kelele juu ya safari yake kwenda kujirusha CANADA DAY! Msameheni bure tu jamani!
 
Back
Top Bottom