issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,781
- 5,205
| | |
|
| | |
|
Kingunge ni nani kwenye taifa la Tanzania.
Kingunge ni nani kwenye taifa la Tanzania.
ilikuwa wapi iyo mkuu na mwaka ganiHuyu Mzee aliwahi kuulizwa 'nini maana ya zidumu fikra za mwenyekiti?' Alianza kulia kama kachanganyikiwa na sherehe za kutoa kadi za uanachama zikaishia hapo baada ya siku 2 ugeni waakina...... ulifika namkumbka sana huyu KADA
Yule mzee anaeamini siasa za ujamaa kama dini yake lakini alijimilikisha kituo cha Ubungo.
Kingunge ni nani kwenye taifa la Tanzania.
Wewe kijana wa juzi,hauwezi kujua ila kama unataka kujua vizuri muulize mzee wako kikwete anamjua vizuri,umenielewa Ridhwan(Ritz)
kundi la wataalamu wa jadi.huyu mzee ni disappointment kwa taifa!
interaption tafadhali,kituo cha ubungo alimilikishwa na magamba.Yule mzee anaeamini siasa za ujamaa kama dini yake lakini alijimilikisha kituo cha Ubungo.
Kingunge ni nani kwenye taifa la Tanzania.