Kingunge Ngombale-Mwiru alazwa Muhimbili (March, 2013)

Raha ya milele umpe ee Bwana,na pumziko la milele umpatie!!
Rest in Peace mzee wetu KINGUNGE na MUNGU(Kama unamuamini) akuponye haraka kwa jina la Yesu,Amen.
 
Tatizo alikuwa hamwamini Mungu sasa hapo sijui imekaaje au yawezekana akizidiwa kabisa ataanza kumwamini Mungu akiwa kitandani, ngoja tusubiri kidogo---time will tell--.
 
Mzee hana dini mnamuombea kwa nani?
yeye kwa dini yake mpagani hana wala hamjui Mungu.
kwa umri wake hata akituacha sijui ataenda kuresti in pisi ya wapi.
 
Haya sasa, JK, Nape, Nchemba, mama salma jiandaeni kwenda kupiga picha na mgonjwa wodini muhimbili kabla hajapelekwa india kama sio south africa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kujifanya hana dini ulikuwa ni ujeuri wa kipato tu na kutaka sifa za kiccm, saa hizi anamtaja sana Mungu amuhepushie kikombe hiki kama inawezekana chezea Jehanam wee.
 
8E9U0427.JPG

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete, wakimjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, aliyepumzishwa katika chumba cha dharura katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo.

Mzee Kingunge alikimbizwa Hospitalini hapo baada ya kujisikia vibaya. Jopo la madaktari bingwa linamfanyia uchunguzi Mzee Kingunge ili kubaini ugonjwa unaomsumbua.

Aliyesimama Nyuma ya Rais ni mke wa Mzee Kingunge na kushoto ni mtoto wa Mzee Kingunge, Kinjekitile.

Picha na Freddy Maro
 
Raha kweli kuwa MTOTO wa Mkubwa; Kinjikitile Ana pesa hajawaki kufanya kazi kwa MTU YEYOTE...
Unasema CCM ni CHAMA cha Ujamaa na Kujitegemea
 
pole sana.nakutakia afya njema na maisha marefu ili uvuke 2015 ushuhudie CHADEMA ikichukua nchi kwa amani ili uwashauri CCM wasifanye vurugu
 
8E9U0427.JPG

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete, wakimjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, aliyepumzishwa katika chumba cha dharura katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo.

Mzee Kingunge alikimbizwa Hospitalini hapo baada ya kujisikia vibaya. Jopo la madaktari bingwa linamfanyia uchunguzi Mzee Kingunge ili kubaini ugonjwa unaomsumbua.

Aliyesimama Nyuma ya Rais ni mke wa Mzee Kingunge na kushoto ni mtoto wa Mzee Kingunge, Kinjekitile.

Picha na Freddy Maro
ALIMKANA MUNGU NA KUKATAA HESHIMA YAKE KATIKA JAMII KWA SABABU YA KUHUSUDU UJAMAA NA KUJITEGEMEA(SIASA YA DHURUMA KWA JAMII) leo hii muumba wake ankesha naye hospitalini.
 
Raha kweli kuwa MTOTO wa Mkubwa; Kinjikitile Ana pesa hajawaki kufanya kazi kwa MTU YEYOTE...
Unasema CCM ni CHAMA cha Ujamaa na Kujitegemea

Hakuna Shaka juu ya ujamaa... Wa kingunge ambae kwake ujamaa ni Imani au dini...yeye ndie amekuwa mwandishi wa sera kwa Muda ndani ya Chama ......

Ukwasi na lifestyle ya Victor Kinjekitille Mwiru"...unaotokana na kudekezwa na mama yake......ni mtoto wa mama...
 
Back
Top Bottom