Nalabuje banamhala ya myaka ya kale.Agenago masimba na yanga ga mbina ja kukayise hasa mbina ya beni ambiwemanile.
Nalabuje banamhala ya myaka ya kale.Agenago masimba na yanga ga mbina ja kukayise hasa mbina ya beni ambiwemanile.
Nalabuje banamhala ya myaka ya kale.
Bhing'weh ng'waneneh!...mlemola? Yeeeeeh neyoh lolo!...
Naona unatafutia watu ban kwa nguvu, watu wanajadili mambo yao kwa kutumia lugha yao wewe kinachokuwasha nini? Si utembelee majukwaa mengine yapo mengi tu au kama unapenda jukwaa hili basi kuna topiki zingine nyingi kwani lazima uangalie hii ya kisukuma, kama ni primitive waache na uprimitive wao hawajaja kwako kuomba hifadhi wala kuomba unga.Ndo maana nasema hakuna kabila primitive kama wasukuma. Hata kwenye gari unakuta mmoja kaka kule nyuma anaongea kwa masauti na aliyekaa kule mbele, bila kujali wanawapigia kelele wenzao wasiohusika...
nduhu nadasayila ngalu, ila ubebe oduma ukuniwila tofauti yaho hichene nahaya nakubuja banamhala ba kale badulubyi bamanile.Masuke wasaya?
madela miza babehi, toleho tulitula busiga ango elelo wikend mledeba...
Naona unatafutia watu ban kwa nguvu, watu wanajadili mambo yao kwa kutumia lugha yao wewe kinachokuwasha nini? Si utembelee majukwaa mengine yapo mengi tu au kama unapenda jukwaa hili basi kuna topiki zingine nyingi kwani lazima uangalie hii ya kisukuma, kama ni primitive waache na uprimitive wao hawajaja kwako kuomba hifadhi wala kuomba unga.
Kwa hiyo kwa akili yako unajua ukabila ni kuongea lugha ya kabila lako sio? Na kama udini ni kusali na kuhudhuria kanisani basi nakubali mimi ni mdini.wewe ndo unawatafutia watu ban kwa nguvu coz ka mnataka ukabila si muiombe BASATA iwaanzishie jukwaa lenu, hili siyo jukwaa la wasukuma so kumwambia mtu achague threads za kusoma kisa tu wewe unataka kufanya ukabila siyo uungwana, nahisi pia utakuwa mdini wewe
Ndo maana nasema hakuna kabila primitive kama wasukuma. Hata kwenye gari unakuta mmoja kaka kule nyuma anaongea kwa masauti na aliyekaa kule mbele, bila kujali wanawapigia kelele wenzao wasiohusika...