Kinana awasili Nzega; Dk. Kigwangala agawa pikipiki 9 kwa kata 9 za CCM

HK alilitolea maelezo ya kutosha suala hili. Mzee anaomba msaada upi wakati HK ndiye anayemhudumia mpaka sasa hayo maradhi yake ya moyo. Acheni kudandia mambo msiyoyajua nyie mnaopandikizwa ovyo ka pig jike...

Mbona unatumia lugha ya hovyo hovyo sana kujibu hoja?Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?

Baba HK jana tu kasema mtoto wake kamtelekeza;sasa wewe na Mzee huyu nani mkweli?HK kifamilia akae chini na baba yake wayamalize haya mambo!

Hamna njia ya mkato hapo,lzm wakae chini waongee;baba ni baba tu no matter alikufanyia nn ulipokuwa mtoto!Obama alikwenda hadi Kenya kwa baba yake ambaye aliondoka bila huduma yyt kwa mama yake itakuwa HK?
 
1.Mbona Hili jambo liko ki-chama zaidi?
Au ukitoa huduma ,Zawadi..nk kwa wana-CCM ndio umetimiza ahadi?
2.Na Kwanini mnapotimiza majukumu yenu ktk chama chenu inaonekana ni msaada?
 
Kupiga na ku display hizi picha inabidi uwe na roho ya jiwe kwani kuna watu kwenye hizi picha wanahusika na kuhujumu maliasili zetu ikiwemo Meli zao kukutwa live na nyara za Serikali. Serikali inahangaika kuwafuata wahalifu waliopo Falme za Kiarabu wakati waliopo hapa nchini wanaogopa kuwakamata!!!
 
mafisadi haooo mafisadi haooo hizo piki piki wanapeana wao kwa wao ambao wana pendana kwa wao kwa wao
 
Pikipiki 9 tu-assume ni za mchina za 1.6m @ zinakaribia Tsh 15m,baba yake HK anahtaji 12m kwenda india..Jamaa ana moyo wa chuma
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
attachment.php
 
CCM ilidhubutu, ikaweza na sasa inatimiza ahadi zake kama ilivyoahidi kwenye sanduku la kura kupitia ilani yake ya uchaguzi 2010-2015.

Waacheni waendelee kususia bunge na kuwarushia ngumi na mateke watu wa ulinzi wa raia nchini kwa sababu hiyo ndiyo fani na kazi yao wanayoiweza vizuri.

CCM hatuna muda wa majungu na uzandiki wa kisiasa na tutaendelea kuwaonyesha warusha masumbwi namna siasa na utekelezaji wa ahadi unavyofanyika kwa manufaa ya taifa na watu wake.

Time is quids in.
bila kusahau utekelezaji wa ilani hii ambayo hukuitaja....

255165_485201221530301_413430985_n.jpg


64675_485201181530305_266175019_n.jpg


15154_485201234863633_2031196352_n.jpg


306060_485201258196964_1233796737_n.jpg
 
mtu ambaye yuko tayari kumuua baba yake mzazi sitakubali kabisa asimame pembeni yangu.
Simuamini muuaji mkubwa huyu.


 
Angalia akili zenu zilivyo. Hoja ya msingi mmeiacha mmeanza kuingilia mambo ya familia za watu. Nyie Babake na Kingwanwala kawashitakia au kawaomba muwe mdomo wake wa kumsemea? Kama ana matatizo na mwanaye si ya kwao? Nyie yanawahusu nini? Je hata kama lilikuwapo tatizo na wameshamalizana nyie mtasemaje sasa? Mnauaje kama amemsaidia au hajamsaidia babake? Acheni umbeya zungumzeni pointi tuwaelewa mnatujazia watu hapa jamvini.
 
Free of charge? Alisema hana hela za kumpeleka baba yake India!!! Anyway mwenyewe kasema hajamtunza na kipaumbele ni mama yake aliyehangaika naye!!!
 
Siku hizi kuwa kiongozi lazima uwe na cha kutoa. Utasikia mbunge katoa mabati, katoa baiskeli, nauliza hizo pesa wanapata wapi?
 
Anung'unikapo mzee wako, basi hana haja ya kutoa laana. Dr. K na hiyo kofia anaonekana kama mwendawazim u
 
Back
Top Bottom