Elections 2010 Kinana amenena kweli DK Slaa ameshindwa mlalamishi anayetuhumu uongo

Jichohuru

New Member
Sep 24, 2010
1
0
DK Slaa alichelewa kufanya kampeni akisubiri CCM watasema nini katika majukwaa ili na yeye apate pa kuanzia kusema na watanzania lazima tujiulize kwanini alifanya hivyo na jibu unalopata hizo zilikuwa dalili za mwanzo kabisa za kushindwa kwa sababu haiwezekani kukitegemea chama kingine kitazungumza nini katioka mikutano yake huku ilani ziko tofauti,katika vyama tofauti.

Pili Slaa anategemea sana makapi ya CCM Shibuda na MPENDAZOE AMBAO KWA ccm WALIKUWA MZIGO mzito usiobebeka. kwani hawana jipya cha kuwaambia watanzania, Chadema wanawazungumza CCM badala ya kunadi sera zao kwani wapiga kura wanataka kusikia sera na si historia ya watu, wajifunze kwa mgombea wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa akizungumza kwa ligha maalum kutokana na eneo husika kwani kero na matatizo ya watanzania hayafanani. Kinana nakupa BIGUP hongera CCM hongera Kikwete.

Kura yangu naampa Kikwete 31 Oktoba
 
KatuniAgost8.jpg
 
Wanaofaidika na ufisadi wa mali ya Umma kupitia uwepo wa CCM utawfahamu tu. Yaani maneno kama ya jichohuru yanaonyesha anavyofaidika na uzindiki wa CCM. Kwani wabunge wa CCM walioanza kampeni karibuni wakati wenzao wa vyama vingine walianza mapema walisubiri nini?
 
Hamjui nyie. Jichohuru ni mshiriki mkubwa bwa Kinana katika biashara ya kuhamisha nyara za taifa.
 
DK Slaa alichelewa kufanya kampeni akisubiri CCM watasema nini katika majukwaa ili na yeye apate pa kuanzia kusema na watanzania lazima tujiulize kwanini alifanya hivyo na jibu unalopata hizo zilikuwa dalili za mwanzo kabisa za kushindwa kwa sababu haiwezekani kukitegemea chama kingine kitazungumza nini katioka mikutano yake huku ilani ziko tofauti,katika vyama tofauti.

Pili Slaa anategemea sana makapi ya CCM Shibuda na MPENDAZOE AMBAO KWA ccm WALIKUWA MZIGO mzito usiobebeka. kwani hawana jipya cha kuwaambia watanzania, Chadema wanawazungumza CCM badala ya kunadi sera zao kwani wapiga kura wanataka kusikia sera na si historia ya watu, wajifunze kwa mgombea wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa akizungumza kwa ligha maalum kutokana na eneo husika kwani kero na matatizo ya watanzania hayafanani. Kinana nakupa BIGUP hongera CCM hongera Kikwete.

Kura yangu naampa Kikwete 31 Oktoba

Veve si geni dugu?
sasa pana bisha hodi, nakuja na hii maneno?
siku ingine fanya staharabu ee!
 
Kura yangu naampa DR. SLAA 31 Oktoba...............

Hivi CCM ambao kila siku kwenye gazeti lao la kishabiki la UHURU hudai limezowa wanachama wa upinzani je nani kati ya CCM na CHADEMA HUZOA MAKAPI?

HATA UWEZO WA KUFIKIRI HUNA KWA NINI WAKATI MWINGINE USIKAE KIMYA TU NDUGU YANGU?
 
Back
Top Bottom