Kinachotetewa ni Nchi Takatifu Ezekiel 34:29, kwamba Israel hii ya Leo ni Taifa Takatifu hilo linahitaji Mjadala tulivu!

Sisi tulipofika Israel na kuzuru maeneo Matakatifu katika Nchi ile nzuri tunaitetea Nchi ile Takatifu aliyoibariki Mungu wa Mbinguni mwenyewe Ezekiel 34:29

Kwamba Waisrael hawa wa Leo ni Taifa la Mungu wa Mbinguni hilo ni jambo lingine kabisa linalohitaji Mjadala wa Hekima

Kuna tofauti Kati ya Taifa na Nchi

Nawatakia Dominica Njema 😀
Judea and Samaria
 
unawanufaisha ndo maana wanapigwa vita dunia nzima.
Kupigwa vita ni manufaa!!!??? Na vipi kuhusu Korea ya Kim na Urusi ya Putin zinavyopigwa vita nazo zina utukufu huohuo wa Waarabu!?
Tumia akili aisee.
 
Sisi tulipofika Israel na kuzuru maeneo Matakatifu katika Nchi ile nzuri tunaitetea Nchi ile Takatifu aliyoibariki Mungu wa Mbinguni mwenyewe Ezekiel 34:29

Kwamba Waisrael hawa wa Leo ni Taifa la Mungu wa Mbinguni hilo ni jambo lingine kabisa linalohitaji Mjadala wa Hekima

Kuna tofauti Kati ya Taifa na Nchi

Nawatakia Dominica Njema 😀
Tena wewe unaeijadili Izrael tayari laana inakujia!
"No Israel no World"... Imeisha hiyo
 
Sisi tulipofika Israel na kuzuru maeneo Matakatifu katika Nchi ile nzuri tunaitetea Nchi ile Takatifu aliyoibariki Mungu wa Mbinguni mwenyewe Ezekiel 34:29

Kwamba Waisrael hawa wa Leo ni Taifa la Mungu wa Mbinguni hilo ni jambo lingine kabisa linalohitaji Mjadala wa Hekima

Kuna tofauti Kati ya Taifa na Nchi

Nawatakia Dominica Njema 😀
Waisrael wa kwenye biblia na hawa wa leo hii ni watu wenye hulka mbili tofauti. Wanaonewa huruma kwa sababu ya undugu walionao kwa kina Isaka na Ishmael, wana tabia za kishenzi nyingi sana tu.

Wabaguzi wakubwa wa rangi na wananyanyasa ubinadamu wa Palestina mpaka dunia imeamua kusema sasa basi, maandamano yenye nguvu yanaendelea kule Marekani, Australia, Canada na sehemu zote zilizozoeleka kuwa ndio nguzo za uzayuni.

Mauaji ya watoto wadogo yasiyokwisha yanaikera dunia, wao kuwa na undugu na manabiii na mitume haiwezi kuwa ndio uhalalishaji wa sera za kinyama zisizokwisha.
 
Kwamba Mungu alimwaga damu pale Israel!?
Wakina "Masanja" watawapotosha mpaka lini!? Tumieni hata akili ya kawaida tu, Mungu tangu lini akamwaga damu yake?
Mnapaswa kuisoma vema biblia na si kusubiri mtafuniwe na wahuni wasio na maarifa yoyote.
Wacha weeeeee, unajua nini maana ya Mungu wewe maamuma?
 
Sisi tulipofika Israel na kuzuru maeneo Matakatifu katika Nchi ile nzuri tunaitetea Nchi ile Takatifu aliyoibariki Mungu wa Mbinguni mwenyewe Ezekiel 34:29

Kwamba Waisrael hawa wa Leo ni Taifa la Mungu wa Mbinguni hilo ni jambo lingine kabisa linalohitaji Mjadala wa Hekima

Kuna tofauti Kati ya Taifa na Nchi

Nawatakia Dominica Njema 😀
Kwamba uliumwa kwa UDONGO ila kwasababu ukijikata unakutana na nyama na damu basi huamini uliumbwa kwa udongo si ndio maana yake? Ucha ujinga usikufuru....
 
Kuna sehemu ya maandiko Mungu mwenywe aliwaondolea hilo au ni kubunibuni kunaendelea tu kwa mitizamo?
Maneno ya Mungu kamwe hayabadiliki. Wanachotetea hawa waleta mada ni maslahi yao binafsi. Kila kitu kuhusu Israel kimeandikwa hata kurudi kwao Israel kuliandikwa miaka mingi iliyopita na ikaja kutimia mwaka 1948.

Kuna mtu humu kaandika eti alimuuliza Mungu na Mungu akamjibu kuwa lile sio tenq taifa lake! Utapeli mtupu.

Israel litabaki kiwa Taifa la Mungu na hakuna wa kumshinda.

Watabwabwaja tu lakini Israel ataendelea na operesheni zake Gaza vita haisimami labda Hamas wawaachilie mateka wote. Hizbollah ataendelea kusema maneno tu lakini hawezi kuthubutu kuanzisha vita kwani anajua atailetea maafa Lebanon. Hata kikao cha huko Riyadh wataishia kusemasema tu lakini watu wataendelea kufa Gaza hadi hamas atie adabu awaachilie
mateka.
 
Sisi tulipofika Israel na kuzuru maeneo Matakatifu katika Nchi ile nzuri tunaitetea Nchi ile Takatifu aliyoibariki Mungu wa Mbinguni mwenyewe Ezekiel 34:29

Kwamba Waisrael hawa wa Leo ni Taifa la Mungu wa Mbinguni hilo ni jambo lingine kabisa linalohitaji Mjadala wa Hekima

Kuna tofauti Kati ya Taifa na Nchi

Nawatakia Dominica Njema 😀

Mbona hata kwa Waislamu ni nchi takatifu.....Soma Charter ya Hamas

Goals of the HAMAS:------------------'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinianmovement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life isIslam. It strives to raise the banner of Allah over every inch ofPalestine.' (Article 6)On the Destruction of Israel:-----------------------------'Israel will exist and will continue to exist until Islam willobliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)The Exclusive Moslem Nature of the Area:----------------------------------------'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No onecan renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)'Palestine is an Islamic land... Since this is the case, theLiberation of Palestine is an individual duty for every Moslemwherever he may be.' (Article 13)
 
Sahihi kabisa 😀
 
Maxence Melo huyu member Mdudu wa bunju anaweka dislike katika Kila post lengo lake ni Nini has?
Mkuu kuna watu humu (member) maisha yamewapiga na wamechanganyikiwa,kwa hiyo wanajifariji kuandika ujinga ujinga tu humu au kufanya vituko tu ili mradi siku iishe walale.Ni stress zinawasumbua tu,hawako kuelimisha ila kupoteza muda tu muda wao
 
Na hili wengi hawalijui including most Christians na hata watumishi wengi wa Mungu.

Kuna mwaka nilimuuliza Mungu tokana na yale yanayotendeka na kutokea Israel sasa. Je kwanini watu wa Taifa lile wanatenda dhambi na mambo tofauti na wanalitukana Jina lako?

"Alichonijibu, pale kwa sasa hapana kitu. Nilitumia nchi ile kama lango la kufikia ulimwengu wote tokana na imani thabiti ya Ibrahimu Baba yao. Nilimwaga damu yangu katika nchi ile ili kuukomboa na kuufikoa ulimwengu wote. Kwa sasa kila nchi watakayoniita wataniona nami nitawabariki. Sasa pale hakuna kitu tena, limebakia Jina kwani mimi ni Roho nao waniabuduo halisi katika Roho na kweli wataniona katika kila nchi sawa na Yohana 4:24"

Kuna tofauti kubwa kati ya nchi na Taifa. Yeye aliitumia nchi kuufikia ulimwengu ila hakulitumia taifa kama Lango.
Mungu ana damu? Mbona unakufuru ewe kiumbe?
 
Una hoja fikirishi mkuu...

Taifa teule la Mungu nyakati hizi ni wale waliompokea Kristo na wanaongozwa na Roho wa Mungu.
 
Back
Top Bottom