Kinachosababisha sasa bifu kati ya matajiri hawa Mengi na Manji si kingine bali ni Urais wa Oct 2015

naogopa kujibu maswali ya " kitoto " japo nakuheshimu na huwa naheshimu mno michango yako na sijui leo umeamkia ubavu gani. kwa ninavyokujua sikutegemea swali kama hili kutoka kwa mtu kama wewe. watanisaidia wengine kunijibia swali lako uliloniuliza.

Hivi huoni ni ubaguzi kum_refer mtu kwa origin yake?
?

Mbona kuna wakimbizi wamepewa uraia wa Tanganyika Na hatuwait watanfanyika wenye asili ya Burundi?

Sisi wangoni asili yetu ni south Africa mbona hatuitwi wa Tanganyika wenye asili ya S.Africa??
Nadhani ni ubaguzi tu wa kuitana watanzania wenye asili ya "flani"
 
Back
Top Bottom