Kinachojiri harusi ya Joshua Nassari hivi sasa hapa Usa Academy Ground

Joshua++Nassari1.jpg


Mpaka harusini ni Kichademachadema tu, jamani siasa nazo zinaweza kumtia wazimu mtu mzimamzima. Leo wangeweka kando zile itikadi za vidole viwili, wangeanza kuonyesha baada ya kumaliza honey moon yao.
 
Ndoa Iheshimiwe na watu wote; kama ilivyoandikwa katika Biblia. {WAEBRANIA 13:4}
MBARIKIWE JOSHUA NA MKE MWEMA;AMEN !!!
 
Tupia picha ma ccm wajinyoge mkuu.


Ukue kiakili wewe mwehu! Nyie ndio mnaosababisha CDM ionekane ina wehu kumbe ni mijitu isiyojielewa kama wewe Umekalia Shobo mkondombwe tu! Sasa Chichiem wajinyonge kwa sababu hawana wake/waume au? Sio kila ktu kinahusu siasa we mngese! By the way congrats bro Nassari, umetimiza agano, mwanaume atawaacha wazazi wake..........
 
Back
Top Bottom