Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

Zoezi linaanza rasmi mwezi wa kumi mwishoni na sio mwezi wa sita kma wengi wanavyodhani, reference ya zoezi la uandikishaji mwaka 2019
Training na semina itakuwa mwez huo huo wa kumi ??? Fununu ya majina kutoka lin mkuu..
 
Kazi ni mwezi wa sita hii ni kutoka jikoni
Mimi Nina PDF ya uchaguzi wa mwisho Yani mwaka 2019 imeelezea kuanzia cku majina ya waandishi wa wapiga kura yanavotoka, cku ya uwandikishaji pamoja na uchaguzi..

Uandikishaji mwaka 2019 ulifanyika mwezi wa kumi na uchaguzi ulifanyika mwezi wa 11

Training ilikua siku tatu na uandikishaji ulikua Ni siku saba
 
Ach

a

Unaishi kwa kukariri
 
Back
Top Bottom