Kinachoendelea kati ya Gwajima na Makonda sio afya kwa maendeleo ya nchi

Acha waendelee sisi tuzidi kuuza magazeti na mb bifu zao shibe yetu,yetu macho mmoja ana dola mwingine ana familia.
 
Yaani, Kabila moja, Dini moja, Walokole wote, na wote ni viongozi, wote ni maarufu, wote ni wajanja wajanja, na wote ni watu wasiokubali kushindwa.
 
Back
Top Bottom