Kina kaka acheni ujinga, hakuna mwanamke asiyetaka kuhongwa, shauri yako

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
Wakaka acheni ujinga, ukitaka dem wa peke yako basi jua kugharamia. Nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume wa ai lavii yuu maneno.

Usidanganyike hakuna mwanamke asiyependa kuhongwa, kuna wanawake natural hawawezi kuomba,ila anakua anataka ujiongeze, sasa kama wewe ni wale ambao akikwambia "baby kifurushi kimekata" unajibu "basi mumy please ukiweka nicheki" umekwisha.

Anakueleza shida zake unasema "mpenz vumilia nakuombea upate kazi" kaka umeishaaa kabisaaaa aiseeee!!! Huna chako.
Ujue ulivyokata simu umefatiwa na bonge la msonyoooo ka sio tusi la nguoni basi la mwilini. Yaani wewe kama ni wale wa baby mwezi huu mambo yangu hayako sawa, nakuapia unagongewa mpaka ujute.

Unamuona demu wako kasuka, kapendeza na hana kazi, we umekazana tu "beibi umependeza". Yaani wee boya ujue.

Mume mwenzio kaweka nguvu, so anapokua anatoa calendar za kukuona tulizana, service inakua kwa anayehudumia.

Hakuna demu wa siku hizi anayetaka kuambiwa nakupenda Jumapili mpaka Jumapili we mhonge tu uone heshima.

#shared
#copiedFromSomewhere
 
Kuna watu wanajua kuhonga.....wapi cleme ake wema sepetu?je bidada alikumbuka fadhila?maana jamaa alihonga bongo nzima wadada wakaanza tafta cleme kwa google.ila yaliishia wapi?soma alama za nyakati
 
hata wanaume wanapenda kuhongwa siku hzi ndo maana ukiingia loveconnect kuna ongezeko la vijana wanaotafuta masugar mamy
 
Last edited by a moderator:
Nadhani alimaanisha hakuna mwanamke.... naona kichwa kimerekebiswha. Siku hizi pesa imekuwa ni muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku. Kila mmoja anapenda kupokea na siyo kutoa. Kwa upande wa wanawake ni kweli mwanaume hana budi kuhudumia zaidi.
 
to love is to give
mapenzi ni kuhongana..both ways

na kuhonga sio lazima pesa
hata idea ya business ni kuhonga pia

au mbinu za kutunza pesa vizuri
au namna ya kutafuta a better job...

kuna a lot to give kwenye mapenzi....sio pesa tu

a lot......
 
to love is to give
mapenzi ni kuhongana..both ways

na kuhonga sio lazima pesa
hata idea ya business ni kuhonga pia

au mbinu za kutunza pesa vizuri
au namna ya kutafuta a better job...

kuna a lot to give kwenye mapenzi....sio pesa tu

a lot......

Kweli kabisa mkuu. Wakati mwingine hongo iwe ya nyavu za kuvulia samaki sio kuhonga samaki kila wakati. Kuhonga nyavu ni pamoja na kumpa capital, kumsaidia kielimu nk
 
mweeeeee! nakuonea huruma ulieleta huu uzi, jambo la msingi ujumbe umewafikia vizuri na naamini watakushukuru kwa kuwakumbusha. heeeeeeeheeh, nicheke mie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom