Kina dada acheni vurugu za mapenzi sikukuu zikianza

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Jameni kama ilivyo ada sikukuu zimeanza na watu wanaachika,wapenzi kunuiana,ndoa zinakua ndoano ati kisa sikukuu,kama kulikua na mtu anamtaka mdada anampata sikukuu,wadada nawauliza je ndio mara ya kwanza kula sikukuu na wakaka na wababa je unadhani fujo hizi chanzo ni nini
 
huu ndiyo wakati muafaka wa kupigana mizinga kwa ajili ya viwalo, mitoko, ulimbwende nk so kama umefulia lazima watu waanze mbele na kama zimekutembelea ndiyo muda wa kuwanasa... halafu small houses nazo kipindi hiki huwa zinakaba hadi penati, so si ajabu nyumba kubwa zikatelekezwa kwa muda...
 
Mheshimiwa umeongea hali halisi,wakaka tumebanwa,ila wao hawaulizi sisi tutavaa nini,
 
Mambo mengine wadada mnapenda kutusimanga tu bila hata cha msingi wala secondari ilimradi muongeze tu post hapa jamvini!!! Hivi mmeahidiwa malipo au???? Mpaka sasa mnaboa....khaaa!
 
Mambo mengine wadada mnapenda kutusimanga tu bila hata cha msingi wala secondari ilimradi muongeze tu post hapa jamvini!!! Hivi mmeahidiwa malipo au???? Mpaka sasa mnaboa....khaaa!

It is chocking eeh! nilifikiri ni peke yangu, yaani thread zingine hata sizifungui kwani najua zitaniharibia siku! Mijitu mizima inadhindwa kuact responsibly na kusingizia wakina dada. Phfeeew!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom