Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Ha ha ha seems upo desperate.....I can't deal with u.Upo too low.
Hahahahaaa nimecheka sana Wallah!
Umeyaanza mwenyewe halafu unajidai 'upo too low'!!!!
Kafie mbali huko,unajidai nawe uko busy,busy na huo uenyekiti wa mtaa au?
Hivi mmeanza kulipwa posho?
 
Achana na wapiga deki kwa Diamond.. Zari kama ana pesa na magari ni yake alete moja tu bongo.. Kwani hapo Uganda ni mbali??
Hahahahaaa dah umenivunja mbavu!
Zari...hatupumui Zari,khaaa!
 
Hahahahaaa nimecheka sana Wallah!
Umeyaanza mwenyewe halafu unajidai 'upo too low'!!!!
Kafie mbali huko,unajidai nawe uko busy,busy na huo uenyekiti wa mtaa au?
Hivi mmeanza kulipwa posho?
Ha ha ha.......jukwaa umebakia peke yko mkosa kazi na mkomaa sura.PPO ar busy wanatafuta Ankara,ushangai mpk Warumi kakimbia.Baki bhana uburudishe watu maana huna bao na kwenu bomoa imewakuta.
 
Hahahahaaa dah umenivunja mbavu!
Zari...hatupumui Zari,khaaa!
Eti yanadanganywa Zari ana duka la vito.. Maweeee huyo demu hana chochote na akibwagwa na diamond ataanza fuatilia divorce papers kwa kina Ivan apate pesa ya kula
 
Ha ha ha.......jukwaa umebakia peke yko mkosa kazi na mkomaa sura.PPO ar busy wanatafuta Ankara,ushangai mpk Warumi kakimbia.Baki bhana uburudishe watu maana huna bao na kwenu bomoa imewakuta.
Heheheheee pole sana kizee wewe uliyechusha,badili basi japo ID ujiite KIBIBI STRONG?
Nafsi haikusuti kuendelea kujiita Miss?

Hapa ninavyotype nipo kazini,sifanyi kazi za sulubu nikose hata muda wa kuperuzi,upo hapo GRANNY?

BTW,mbona hujanijibu M/Kiti wa mtaa?Wewe wakati unagombea si ulitutangazia?
Ndio nakuuliza vipi mmeshaanza kulipwa posho?
 
Looooh....huna kazi wewe,endelea kuanzisha thread angalau ufarijike na likes.

Posho nmeelekeza kuwasaidia mliobomolewa....vepeee mabwepande ulifanikiwa kupata kiwanja.Ha ha ha chefuuuu
 
Tangia lini wenye akili wakasoma makongo?? Huko si walikuwa wanaenda failures kuku wewe
Ha ha ha kajifunze kuandika.....Abdallah Posi muulize kasoma wapi?Sasa wewe shule ya kata kigurunyembe ndo ilikutoa,hela ya shule ya kulipia unayo.
 
Looooh....huna kazi wewe,endelea kuanzisha thread angalau ufarijike na likes.

Posho nmeelekeza kuwasaidia mliobomolewa....vepeee mabwepande ulifanikiwa kupata kiwanja.Ha ha ha chefuuuu
Hahahahaaa wewe mwenye kazi mbona kila thread ninayoanzisha upo?
Wa kuitwa wako busy na wewe umo?
Halafu kumbe likes ni faraja?Haya ngoja nikupe na wewe maana hili sikulijua.

Oh dear granny,hao waliobomolewa nawasikia tu,sijawahi hata kuona kukoje huko kulikobomolewa.

Hongera kwa kuwagawia wenye majanga KILE KIDOGO ULICHOJAALIWA.
 
Ha ha ha kajifunze kuandika.....Abdallah Posi muulize kasoma wapi?Sasa wewe shule ya kata kigurunyembe ndo ilikutoa,hela ya shule ya kulipia unayo.
Kuandika nini?? Bitch your clown just take that L and walk away... Maskini, dhaifu na wala huna chochote cha kunitisha.. If u ready for the war just cross the line nikudhalilishe hapahapa na nipewe ban yangu.. Jua tu nakujua vizuri so huna cha kunidanganya..

Second stop living with lots of fake ID's.. It won't help.. Kuja hapa na ID yako uliyoanza nayo kwenye huu uzi sio kukimbilia kumuattack niffah kwasababu umejificha kwenye your other ID.. Now bitch take that L and walk kimya uache nifah asiye na kazi aendelee na umbeya
 
Ha ha ha ha ntolee upuuzi wako......huna chochote kichwani Senzi.Eti unidhalilishe ptuuu
 
Back
Top Bottom