Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Shoga nyumba yenyewe ni mpya ile,naona walikuwa wanaishi kule jikoni!
Hahahahaaa
Nifah una malice aforethought dhidi ya zari maana umebase kumchoma pekee aloanzisha hizo mambo ni team wema sema team wema hua wanatafuta sababu. Hii instagram ije ifungwe tu akiingia Mr Donald Trump wa republican maana waafrica tumekua wavivu na watumwa wa hizi mitandao halaf na hizi team mavi ndo huletaga chokochoko na innuendo .
WEMA KWANI ANGEKAA KIMYA ANGEPUNGUKIWA NINI?? ye wema anajiona mtoto mdogo ee mtu na miaka 28 ashakua bibi. Awaze maisha yake ya baaden aache uchochezi wa team sizomaana

Na wewe zari hivi hao watu wanaokutukana na kukufata kwenye account yako ukiwachunia utapungukiwa nini
Ushakua mama wewe ni kioo kuna watu wanajifunza toka kwako haya mambo achana nayo ndo wasababisha kina nifah wapate ubuyu wa kuleta humu heb zari na wema achaneni na hiz mambo tena ukizingatia zari wewe ni b'ness tycoon

Umeanza hustle tangu miaka ya 1999 way back haya mambo madogo yasiharibu status yako.

Wema saiv ulipaswa uwe bize kuwapa elim watanzania juu ya masuala mbali mbali ya kijamii kule kwa jiran zangu wakerewe hua hawachimbi vyoo hata ukawape elim au tumia hiyo instagram kuwapa watu changamoto kwa maana we kioo mi naamin miss tanzania always ni miss tanzania na haibadiliki
 
Sasa kwakua wewe unajua za Ivan ni zipi ungetaja make mi najua zari ana magari yake, ana nyumba, ana zari's jewellery, na maduka ya nguo mali anayo share na Ivan ni hicho chuo chao, watu wakioana ni mali zao wakiachana wakagawana hapo kila mtu anapata chake
Okay okay wema magari yake anahongwa, sasa ile murano yake tuiite ya diamond? Sio ya wema? Au Ile BMW tuiite ya mwami sio ya wema?
Magari yote ni ya Ivan Zari hana gari hata moja pale (naongelea yale makali,labda kama ana ka vits kake)
Unakumbuka mwanae alivyomuumbua kwa kusema magari ni ya baba yake?
Hata kama wema akihongwa mwisho wa siku ni magari yake.
Na nyumba walizonazo ni za watoto Ivan kamuachia sababu ya watoto.
Kama ana Sonara wema nae ana boutique, na bado ni msichana akifikia umri wa Zari akili zitamkaa sawa nae afanye ya maana.
#AgeDifference
 
umeiona ile video binti anachamba nyapu ya zari hhhaa,hiyo nyumba ndio anawajengea?
Shoga sijaona,hebu nitajie hiyo a/c niende mie.
Hahahahaaa naona shoga yangu.....
Fainali uzeeni hiyo.
 
Nifah una malice aforethought dhidi ya zari maana umebase kumchoma pekee aloanzisha hizo mambo ni team wema sema team wema hua wanatafuta sababu. Hii instagram ije ifungwe tu akiingia Mr Donald Trump wa republican maana waafrica tumekua wavivu na watumwa wa hizi mitandao halaf na hizi team mavi ndo huletaga chokochoko na innuendo .
WEMA KWANI ANGEKAA KIMYA ANGEPUNGUKIWA NINI?? ye wema anajiona mtoto mdogo ee mtu na miaka 28 ashakua bibi. Awaze maisha yake ya baaden aache uchochezi wa team sizomaana

Na wewe zari hivi hao watu wanaokutukana na kukufata kwenye account yako ukiwachunia utapungukiwa nini
Ushakua mama wewe ni kioo kuna watu wanajifunza toka kwako haya mambo achana nayo ndo wasababisha kina nifah wapate ubuyu wa kuleta humu heb zari na wema achaneni na hiz mambo tena ukizingatia zari wewe ni b'ness tycoon

Umeanza hustle tangu miaka ya 1999 way back haya mambo madogo yasiharibu status yako.

Wema saiv ulipaswa uwe bize kuwapa elim watanzania juu ya masuala mbali mbali ya kijamii kule kwa jiran zangu wakerewe hua hawachimbi vyoo hata ukawape elim au tumia hiyo instagram kuwapa watu changamoto kwa maana we kioo mi naamin miss tanzania always ni miss tanzania na haibadiliki
Neno kuntu hilo!!!!!
Hata hivyo umeitendea haki ID yako,ama kweli uzee dawa na palipo na wazee hapaharibiki jambo.
Asante.
 
Magari yote ni ya Ivan Zari hana gari hata moja pale (naongelea yale makali,labda kama ana ka vits kake)
Unakumbuka mwanae alivyomuumbua kwa kusema magari ni ya baba yake?
Hata kama wema akihongwa mwisho wa siku ni magari yake.
Na nyumba walizonazo ni za watoto Ivan kamuachia sababu ya watoto.
Kama ana Sonara wema nae ana boutique, na bado ni msichana akifikia umri wa Zari akili zitamkaa sawa nae afanye ya maana.
#AgeDifference
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha nifah wema ana nini????
Sasa kama wema magari ya kuhongwa ni yake kwanini zari magari aliopewa na ex hubby wake yasiwe yake?
 
hahshahhahaa,uzi wa mleta uzi,umefanyia sudden change badala ya kujadili alicholeta mleta mada,watu wanajadili BRN...duh nazani mwenyw amebaki kushangaa tu uko aliko!
 
Alifikiri Baba Tiffah hana nyota kwamba anamuibia yake...eeeeeeh tena kwa kusaidiwa na fikra za timu yake. Akatangaza, akammwaga, alifikiri pia babu atakuwa nae milele na sasa majuto.
 
Marafiki na ndugu wakaribu wa huyu mdada msaidieni this is wayyyy beyond stalking. Kina Penny mbona wamemove on.Shida yake nini?
Mi nawasikitikia hao mabwana anaotoka nao,wanawezaje kuwa na demu ambaye akili na mapenzi yake yapo kwa DIAMOND.
 
hahshahhahaa,uzi wa mleta uzi,umefanyia sudden change badala ya kujadili alicholeta mleta mada,watu wanajadili BRN...duh nazani mwenyw amebaki kushangaa tu uko aliko!
Bora wangechomekea kitu kinachoendana na jukwaa hili ningewaona wamaana sasa mambo ya elimu si yana jukwaa lake au we unawaona wajanja ???
 
Kivipi?Sijaelewa hapo.....
Anyways, wote ni wauza nyapu tofauti ni umri tu.
Wangekuwa sawa ndio ingekuwa vyema kuwapambanisha.
Nimeedit

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha nifah wema ana nini????
Sasa kama wema magari ya kuhongwa ni yake kwanini zari magari aliopewa na ex hubby wake yasiwe yake?
 
Nimeedit

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha nifah wema ana nini????
Sasa kama wema magari ya kuhongwa ni yake kwanini zari magari aliopewa na ex hubby wake yasiwe yake?
Utajuaje kama kapewa au lah?
Hivi mume akinunua kitu tayari kinakuwa cha mke?
Hili nadhani wanae ndio wana majibu mazuri ya kwanini walisema magari ni ya baba sio ya mama.
 
Ndoani mke akinunua kijiko ni chao wote mme akinunua Uma nini yao wote that's it
Magari kama alinunua Ivan ni yao wote zari kama alinunua vikombe ni vyao wote
Ndo maana ndoa zingine mtu anajenga kisiri siri hiyo anakwepa kugawana siku ya siku
 
Ha ha ha sasa mambo ya ndoa kwa asiye na ndoa ni miujiza....mambo hayo ya ndoa wanayajua kina Mamndenyi.
 
Hana bo
Magari yote ni ya Ivan Zari hana gari hata moja pale (naongelea yale makali,labda kama ana ka vits kake)
Unakumbuka mwanae alivyomuumbua kwa kusema magari ni ya baba yake?
Hata kama wema akihongwa mwisho wa siku ni magari yake.
Na nyumba walizonazo ni za watoto Ivan kamuachia sababu ya watoto.
Kama ana Sonara wema nae ana boutique, na bado ni msichana akifikia umri wa Zari akili zitamkaa sawa nae afanye ya maana.
#AgeDifference[/QUOTE hana boutique wala ushuzi wa sonara vyote vimekufa baada ya kuachana na Ivan .... Umalaya angepiga sangapi na biashara angesimamamia sangapi aaaaahaaaaa kila siku anakuja Tanzania kulala na mume wa mtu katunzi kisirisiri ...mwenye ushahidi wahizo biashara kama bd zipo aweke hapa kazi alokuaa nayo sasa ni kuchambana kwenye Instagram na u Housegirl wa kulea watoto mpaka wafike 18 baada ya hapo nyumbani kwa Ivan byeee...angekua na nyumba yake siangemlaza mtoto wa tandale hata sikumoja why anaendaga nae hotels
 
Ndoani mke akinunua kijiko ni chao wote mme akinunua Uma nini yao wote that's it
Magari kama alinunua Ivan ni yao wote zari kama alinunua vikombe ni vyao wote
Ndo maana ndoa zingine mtu anajenga kisiri siri hiyo anakwepa kugawana siku ya siku
Hivi hili suala la ndoa si mlikuwa mnakataa?
Leo kisa mali ndio unaongelea ndoa?
Hahahaaaa mwanamke yule Zari kashindikana,alishatumbukia kwenye maji kubatizwa kisa mipesa ya Ivan,sijui Domo alishamsilimsha bibie?
 
Back
Top Bottom