Hatari sana hiii..
Mungu saidia Nigeria!
Ni katika jina la Yesu nimeomba na kushukuru!
If there was a time when the Church and Mosque needed
to pray was now! The world is worse now than Sodom and
Gomorrah please rise up and pray!!!!
.
Bila wao kufahamu wanamtandao wa Kikwete wameigawa jamii yetu kati ya wale wanaowadhania wana hati miliki ya nchi hii; kwahiyo kufaidi matunda yake, na wale wengine wasiostahili eti tu kwavile hawakumuunga mkono mtu wao mwaka 2005!! Upofu wao huo ndio unaipelekea nchi yetu kuwezekana kupatwa na dhahama kama inayowapata hao raia wa Nijeria!! Ubaguzi wa aina yeyote ile huzaa chuki!! Na chuki huzaa maafa!!