Kilindi Tanga hakuna ofisi za CHAKUHAWATA

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
853
1,005
Habari za jioni.

Kilindi Tanga hakuna ofisi ya Chakuhawata mamlaka zinazohusika na chama hiki wafanye hima kuwepo na ofisi wanasubiriwa kwa hamu sana mungu alieumba mbingu na ardhi awezeshe kilio hiki cha kutaka ofisi.

Kama unajua taratibu za kupatikana kwa ofisi ya hiki chama tiririka hapa hizi ni zama za freedom of speech and choice.
 
Back
Top Bottom