Kilimo cha Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Huyu mtu hakujibiwa, hata mimi natamani kujua, soko la tangawizi likoje? Nani mnunuzi mkuu Tanzania hapa?
 
Gharama za mbegu kwa heka moja inafika sh.ngp, na kwa heka moka mpk kuvuna inacost bei gani?

Mkuu tunaomba muongozo wko.
 
SOKO LA TANGAWIZI
Soko la tangawizi lipo ndani na nje ya nchi, kiasi kikubwa kinauzwa nchini. Bei yake ni kati sh. 300-1,500/- kutegemeana na msimu.

10.0 GHARAMA ZA UZALISHAJI NA MAPATO (GHARAMA YA HEKTA MOJA)

Mbegu Tshs. 240,000/-
Vibarua 250,000/-
Mbolea(mboji/samadi) 150,000/-
Jumla 640,000/-

MAPATO:

Kilo 20,000 X300 =6,000,000/-

Hayo yalikuwa mahesabu 2013 kwa sasa sina uhakika sana wa bei kwani nami kuna sehemu nafuatilia ili tujazane kwa gharama za vibarua,shamba na zile zinazotegemea maeneo ni vizuri uulize hapo ulipo shamba bei gani ila kwa atakaye jua bei kwa sasa basi afahamu kuwa kwa hekta moja itaingia kilo 840-1700.
 
Hizo hesabu ilikuwa unauza kwa kilo 300 kwa jumla ila kwa sasa sio chini ya 2000 hadi 3000
 
SOKO LA TANGAWIZI
Soko la tangawizi lipo ndani na nje ya nchi, kiasi kikubwa kinauzwa nchini. Bei yake ni kati sh. 300-1,500/- kutegemeana na msimu.

10.0 GHARAMA ZA UZALISHAJI NA MAPATO (GHARAMA YA HEKTA MOJA)

Mbegu Tshs. 240,000/-
Vibarua 250,000/-
Mbolea(mboji/samadi) 150,000/-
Jumla 640,000/-

MAPATO:

Kilo 20,000 X300 =6,000,000/-

Hayo yalikuwa mahesabu 2013 kwa sasa sina uhakika sana wa bei kwani nami kuna sehemu nafuatilia ili tujazane kwa gharama za vibarua,shamba na zile zinazotegemea maeneo ni vizuri uulize hapo ulipo shamba bei gani ila kwa atakaye jua bei kwa sasa basi afahamu kuwa kwa hekta moja itaingia kilo 840-1700.

Hiyo hesabu yko ya kilo 20,000 ndo ktk heka moja au ya wapi hiyo maana sijakupa vyema nipe muongozo.
 
Kg 20000 per hector

Na hiyo 840-1700 izo ulisema ni kilo ktk hector moja ambazo unaweza kupata sasa kule kwny mahesabu yako umepga 20000 km kilo ktk hector hapo ndo nashindwa kuelewa ebu naomba muungozo wk ktk ili.
 
Na hiyo 840-1700 izo ulisema ni kilo ktk hector moja ambazo unaweza kupata sasa kule kwny mahesabu yako umepga 20000 km kilo ktk hector hapo ndo nashindwa kuelewa ebu naomba muungozo wk ktk ili.
Hiyo 840-1700 kg utatumia kwa ajili ya kupanda kwa hector moja na kg 20000 ni output au outcome utakazovuna wewe
 
Hiyo 840-1700 kg utatumia kwa ajili ya kupanda kwa hector moja na kg 20000 ni output au outcome utakazovuna wewe

Hapo nimekupata mkuu na kwakawaida huwa mwez wa ngp ndo wanaanza kupanda shambani?
 
Kama umepitia maelezo ya msingi hapo awali ni kwamba shamba liandaliwe mwezi wa nane na wa tisa,kwa kawaida hupandwa mwezi wa kumi na moja na kuhusu mbegu ni kwamba unahitaji ununue tangawizi yenyewe. Hebu mpitie vizuri tangu mwanzo. Good day
 
Habari wana forum naomba kuuliza ni biashara gani nzuri inayo lipa nnaweza fanya mkoa wa Tabora
Ndugu Maria mimi naamini in every problems there opportunities hebu fikiria hapo ulipo ulipo kuna matatizo gani na yanahotaji ufumbuzi,jambo la pili sijafahamu wewe una capital kiasi gani na labda kuna kitu chochote unawaza kufanya ili tukusaidie kabla ya ss kukupa ideas.
 
Sijawahi ishi Tabora ndo nataka kuamia ila Nina kamtaji ka laki sita. STG
 
Nimefikiri sana tangu jana kwa upande wangu nimegundua yafuatayo<br />1: Ni ngumu sana kukushauri kwani yakupasa ufike kwanza tabora uangalie mazingira ya kibiashara yapoje na nini kinalipa sana hapo<br />2: Kwa upande wangu sijawahi fika tabora kwa hiyo napata wakati mgumu<br />3:Kwa mtaji huo uliosema yapo mambo mengi kama ufugaji kuku wa kienyeji,kununua vitenge na kuuza kwa wafanyakazi kwa bei ya juu,kulima mbogamboga ambazo unaweza uza kwa jumla kulingana na uhitaji wa soko,kama kuna walaji wa chips unaweza nunua gunia la viazi na mayai na kuuza hapo,kama madela yanapendwa nayo yawezekana fanyika pia, nk lakini inategemea na uhitaji wa soko la hapo
 
Tangawizi kupata total cost inategemea unataka kulima wapi. Mbegu za tangawizi ni tangawizi zenyewe, mfano heka moja ni kati ta magunia 6 hadi 8, ya tangawizi. Kwa mbegu sio chini ya Million1.3 inategemea na unanunulia wapi na kwa bei ipi.
katika nimi research yangu ya hii kitu. Changamoto kubwa niliyoikuta huko shamba ni mbegu kuwa ghali.
 
Back
Top Bottom