George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,039
- 4,926
KILIMO cha TANGAWIZI..!
Bei ya tangawizi imeshuka mkoani kigoma,kwa sasa kilo moja ni kati ya tzs: 500 na 800, kama utaifuata katika vijiji vya Kishanga,Kalela na Kanazi, Huu ndio wakati mzuri wa kununua mbegu kwa sababu bei itapanda siku chache zijazo kwa sababu kuna wafanyabiashara kutoka Rwanda na Kenya huwa wanaifuata vijijini.
Habari yako gunguBei ya tangawizi imeshuka mkoani kigoma,kwa sasa kilo moja ni kati ya tzs: 500 na 800, kama utaifuata katika vijiji vya Kishanga,Kalela na Kanazi, Huu ndio wakati mzuri wa kununua mbegu kwa sababu bei itapanda siku chache zijazo kwa sababu kuna wafanyabiashara kutoka Rwanda na Kenya huwa wanaifuata vijijini.
Unahitaji kulima tangawizi mkuu. Mimi ni mkulima wa zao hiloKILIMO cha TANGAWIZI..!
Kweli..!?Unahitaji kulima tangawizi mkuu.mm nmkulima wazao hlo
Niko interested sana na KILIMO. Ila sikuwahi kuwaza kuhusu KILIMO cha tangawiziUnahitaji kulima tangawizi mkuu.mm nmkulima wazao hlo
Wewe unafanyia shughuli hii sehemu gani..!? Then niPM namba yako..!Gharama inategemea najinsi eneo unalotaka upande
Hivi vijiji havipo barabarani vipo ndani,Kama utatumia barabara kotoka kasulu shukia stendi ya Kalela au Mayange kisha chukua bodaboda,Kutokea kigoma mjini pitia njia ya kijiji cha mahembe.Hivi vijiji vipo maeneo.gani mkuu?, maana mimi nimepita njia ya kwenda kasulu kuna vijiji kabla ya kufika pale wanapouza vitunguu kwa wingi nimekuta kilo wanauza 6000 na wanunuzi wanawafata wakulima mpaka shambani
Maeneo ambayo tangwawizi inalimwa kwasana ni Kishanga, Kanazi, Kalela, Muluzenze nk.Wakuu nahitaji nilime tangawizi kigoma.hebu naomba munijulishe ni maeneo gani wanalima tangawizi kwasana pale kigoma
Maeneo ambayo tangwawizi inalimwa kwasana ni Kishanga, Kanazi, Kalela, Muluzenze nk.Wakuu nahitaji nilime tangawizi kigoma.hebu naomba munijulishe ni maeneo gani wanalima tangawizi kwasana pale kigoma
Salama.Habari yako gungu
Nitawapata wapi hao wanunuzi wa mbegu na Tangawizi yenyewe? Ninayo ipo shambani eka 10
Nipatie mimi hilo soko nina Tangawizi tani 60 nauza kwa tani ila kilo ni shilling 1600Ooh dah ningepata hiyo nafasi ingekuwa poa, nimepata soko mtwara ila wanahitaji kidogo tani 25 tuu kwa bei ya 3000
Kwa sasa sina mteja anayehitajiNipatie mimi hilo soko nina Tangawizi tani 60 nauza kwa tani ila kilo ni shilling 1600