Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kilimo cha mahindi kwa njia ya umwagiliaji inawezekana?

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by My Mud, Mar 14, 2013.

 1. M

  My Mud Member

  #1
  Mar 14, 2013
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  habari
  zenu wapendwa,nimekuwa na shauku ya kulima mahindi kama robo heka kwa
  njia ya umwagiliji wa kutumia maji ya bomba lakini sifahamu namna ya
  umwagiliaji wa mahindi unavo kuwa naomba kujuzwa huu utalaamu kwa yeyote
  anayefahamu,kilimo hiki nataka kufanyia Dodoma.
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2013
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,037
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kaka , unalima mahindi ya kutafuna tu au biashara?
   
 3. M

  MZAWA JF JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2015
  Joined: Apr 4, 2014
  Messages: 1,330
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  vipi mkuu my mud hii kitu ulifanikiwa?
   
Loading...