Kilichonikuta weekend, huyu msichana simtaki tena na nishamuacha

Kuwa na mtto ndo kumechukiza au ulikua na lingine? Maskini kakwambia ukweli je angekuficha ungejua badae sio vzr haujamtendea haki uyo mdada
 
Mkuu ushauri nitaufanyia kazi. Ila siku ingine usirudie kuhudumia hivyo kabla ya kula tunda. Sawa?
 
Kuwa na mtto ndo kumechukiza au ulikua na lingine? Maskini kakwambia ukweli je angekuficha ungejua badae sio vzr haujamtendea haki uyo mdada
Hata hivyo si alificha, akaja kusema baadae.
 
HIKI KISA KILIPATA NITOKEA BACK IN DAYS MTOTO ANAIGIZA MPAKA SAUTI KUMBE NI MZIKI MNENE 2 KID's

KULA MAMA WA WATOTO MIWILI MWEZ BADAE anajisahau anakuambia aaa first born wangu alikuwa hayuko sawa sawa ndio maana nikachelewa DADY nlihis ganz na sikumuuliza kutu nlidurufu tu mawasiliano yake nikajua ni mama sio kinda
 
enzi hizo nlipokuwa fala na shenz nlichukua mtoto wa makongo miaka 18 alinipigisha gwaride hatari kuliko koko simba.......
 
Back
Top Bottom