Wapi Lizaboni,teh teh teh....
hili liko wazi kabisa, watu wengi watapoteza muda mwingi kumshangilia lowasa lakini wengi wao hawatampigia kura. Watu hawa ni wale ambao wanamshangilia kwasababu tofauti kabisa na zile watu wanazozifikiria. Watu wengi wanamshangaa lowasa kwa sababu hizi lakini hawana mapenzi yoyote naye-
(a) wanashangaa kumuona makapia aliyekatwa na ccm-wengi hawajamuona tangia kipindi kile (b) wanashangaa kumuona jinsi asivokuwa na afya njema lakini bado anahangaika na urais. (c) wanashangaa kumuona mtu aliyepwa majina lukuki mashafu na watu hao hao waliomweka front (d) wanashangaa kumuona lowasa akivaa gwanda. (e) wanataka kula hela zake kwani wamesikia anatoa elfu tano tano kwa boda boda. (f) wanashangaa mtu aliyesema kikwete hakukutana naye barabarani, lakini kikwete huyo huyo akamtosa (g) wanashangaa kumuona mtu anayetoa sababu tofauti tofauti kila anapoulizwa kuhusu richmond. (h) wanashanga kumuona mtu aliyekuwa anasema ‘watatuweza' halafu ccm wakakata kichwa. (i) wanashaangaa kumuona mwanaume aliyewaweka kumfukoni mboe na mtei (j) wanashangaa kumuona kibabu kitavyopigika punde atakaposhindwa uchaguzi. (k) ongeza na za kwao
(l) …… (m) ….. (n) …… (o) ……
kajificha wapi Faiza Fox na genge lake?
Lowassa ni raisi wa watu sio raisi wa watu flani flani. Anakubalika na kila rika
Mimi niko mikoani lakini nimeangalia picha inayo onyesha imepigwa tokea juu labda kwa helkopter.Mbona kama kalibeba jiji zima?Lakini naona mods wanazitoa nyuzi hizo au wanaziunganisha hadi kupotea.Tunaomba mods mtusadie nasisi wa mikoani tuone japo kidogo jamani huyu mmasai anavyo taka kuchukua nchi[
Usihofu .....hicho kimbunga kitarushwa na luninga ya ITV leo saa tatu usuki...stay turned...VIVA UKAWA
100% trueLowassa ni raisi wa watu sio raisi wa watu flani flani. Anakubalika na kila rika