Kila timu inayofunguka dhidi ya Yanga ni goli 3 na kuendelea

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Walianza KMC, wakaja JKT, wakaja Simba baba lao leo limewakuta Ihefu achana na wale waarabu wa Algeria.

Hizo timu zote tajwa walizikosea Yanga heshima wakataka kupishana na Yanga kilichowakuta imebaki historia.

Ziko timu nyingi zimecheza kwa Nidhamu kubwa sana na Yanga rejea Namungo mchezo wa kwanza walibaki, Mashujaa, Kagera Sugar, Ihefu pamoja na kupaki walipoteza muda.

Asilimia kubwa ya hizo timu walikula chuma moja au chuma mbili maana walijua ukubwa wa Yanga na kucheza nao kwa Nidhamu.

Lakini mbaya zaidi nimemsikia kocha wa Yanga leo masta Gamondi akisema wamepata dawa kwa timu zinazopiga low block yaani utatoa tu.

Ila uzuri kati ya timu zote zilizokula tano angalau Simba ndio walifanikiwa kupata goli moja.
 
Screenshot_20240312_094323_X.jpg
 
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom