Kila siku nasikia jamii forum jamii forum

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
708
Hata jusi jusi tu niliisikia ikijadili mpaka bungeni ngoja na mimi ni saini ini ni breki manyuzi

vijanawanatambasanangojaniwaonyeshekazi.jpg
 
Anaingia fb na profile foto ya Mwali, anasaka mchumba. Ole wenu vijana!
 
Last edited by a moderator:
Anaingia fb na profile foto ya Mwali, anasaka mchumba. Ole wenu vijana!

watakoma kina nyani ngabu walikuja na post zao eti unapenda kutoka na nai hapa jf mara uunaweka miadi na mtoto halafu siku ikifika unakutana kikongwe kama cha dudu baya
 
Last edited by a moderator:
watakoma kina nyani ngabu walikuja na post zao eti unapenda kutoka na nai hapa jf mara uunaweka miadi na mtoto halafu siku ikifika unakutana kikongwe kama cha dudu baya

Nyani Ngabu Kabla hajamtokea mtu anahusisha CIA na FBI. Hatapeliki, nimejaribu nikachemsha
 
Last edited by a moderator:
Aiseee baba yangu mwacheni bi kidude aweke uzi 2ujadili wakuu

ngoja nikalime nitarudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom