Mwanangu huyu wa mwisho alipokuwa na umri wa miezi hadi miaka miwili alifanana sana na muuza Genge wa hapa jirani kiasi ilikuwa tabu kubwa kwangu. Ajabu sasa ana miaka minne anafanana nami dhahiri hata mwenyewe nakiri kafanana nami... Ila shaka yangu juu ya muuza genge ingalipo japo namwamini mke wangu.

Ila kuna namna binti akifanana na babake anakuwa mzuri kweli...siwezi kuielezea vizuri lakini nimeona mara kadhaa wasichana wanafanana na baba zao halafu bado wanaonekana wazuri...ila ni kweli kuna wengine mmmh 'copy right' na baba halafu baba mwenyewe hata sio 'hendisamu'!hahaha mna kazi kweli.
Mie mwanangu binti nitaomba Mungu asifanane na baba yake! mtoto wa kike sura ya kiume iweje?
Kinababa hufurahi sana wakisikia kuwa wamefanana na baba zao, hali kadhalika nasi kina mama hufurahia kusikia watoto wetu wamefanana na Baba zao.
Hii inatujengea imani kwa wanao tuzunguka kuwa hatujachakachua
Nasikia ikitokea mwanamke mwenye mimba akampenda sana mtu (sio kimapenzi) mtoto hufanana na huyo mtu.