Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 357
- 621
Ni siku kadhaa sasa tangu Kesi ya kubatilisha mkataba wa Bandari ipelekwa mahakamani ,na Tarehe 7/8 tulitegemea kusikia maamuzi ya mahakama juu ya .mkataba huo(Judgment) kwa bahati mbaya Judgment imesogezwa mbele. Siko hapa kutabiri judgment jamani bali natamani ni wajuze vitu vichache kuhusu kesi hii inayoendelea.
Ni kweli mkataba unayomakosa flani flani, hii haipingiki na Wakili msomi Mwabukusi na wenzake walituweka wazi katika vitu vingi sana, ikiwemo sheria zetu za ndani zitakazovunjwa na Utekelezaji wa mkataba huu mama
Kwa kuzingatia mapungufu mengi yaliyotajwa wakati wa mwenendo wa kesi hii , Lakini nilitamani niwaweke wazi kweye baadhi ya Vipengele
1. Kesi hii imesikilizwa katika mahakama ya Isiyo na mamlaka kisheria kusikiliza kesi ya namna hii
-Mkataba ni kati ya Serikali mbili, Serikali ya Dubai na Serikali ya Tanzania ,hivyo mahakama ya Kuu ya Tanzania haikuwa sahihi kusikiliza kesi ya kubatilisha mkataba wa Serikali mbili.
-Bali mabaraza ya kimataifa au mahakama za kimataifa zingeweza kuubatilisha huu mkataba.
2. Sheria zilizotumika hazikuwa sahihi.
- Niwazi kuwa mkataba ni wa serikali mbili ,hivyo hata sheria za kubatilisha mkataba huu zisingetakiwa kuwa hizi za ndani.
- Sisemi sheria zetu za ndani hazijavunjwa na mkataba bali haziwezi tumika kuvunja mkataba kwani sizozilizo uunda mkataba.
- Bali sheria za kimataifa zingeweza kuuvunja mkataba kirahisi sana.
3. Sio rahisi kuuvunja mkataba bila Dubai kupewa taarifa ya kushirikishwa au kuombwa kukubali kuvunjwa kwa mkataba.
- "Only parties to contract can discharge the contract"
Namalizaje baada ya kusema hivi.
Namna ya kuuvunja huu mkataba ingekuwa ni rahisi sana endapo wadau na wananchi kwa ujumla wangeiomba serikali kuvunja huu mkataba na sio kufungua kesi mahakamani.
Mpaka sasa hakuna ushahidi kamili juu ya uvunjifu wa sheria zetu za ndani, But is just foresee au utabiri wa uvunjifu wa sheria za ndani ,"hivyo hakuna USHAHIDI kamili"
Sisemi Walalamikaji hawatoshinda kesi mana zipo point za msingi sana wanazozilalamikia, Na wala sio kwamba hawakuwasahihi, Ila ninahisi kama wangepeleka maoni kwa Wizara husika, au wahisika wenyewe ingekuwa rahisi kufanyiwa kazi wanayoyataka yawe katika mkataba huo, mana mkataba wenyewe unaruhusu mabadiliko wakati wowote yanapohitajika.
a. Kuonyesha ukomo wa muda
b. Kuweka bayana maeneo ya mkataba, Hasa yasiwe ni bandari zote.
c. kufuta na kubadilisha baadhi ya vifungu vinavyo ipa Dubai utukufu
d. Mamlaka ya ukusanyaji mapato iwe ni TRA tu!
Kila Mtanzania ni mzalendo na hakuna anae zidi uzalendo wa mwenzake, Kwani sisi sote tu Watanzania.
Binafsi nina imani na hii serikali, kwani Upo mpango wa kujengwa Reli kutoka Congo, Rwanda ,Burundi, Uganda to Kenya Ports na mpango huo ukikamilika, Bandari ya Tanzania kama haitokuwa Efficiency na kuwa na umekezaji mzuri ili ku ingiza na kutoa mizigo bandarini, Hatutoweza ku maintain kuwa Mlango wa Afrika mashariki , Na wenzetukenya watasapotiwa na Dubai kujenga SGR hiyo na kutuzidi katika Sekta ya Bandari na hiyo itasababisha Bandari yetu kuwa Nothing.
Umepata picha sasa Jinsi Rais ananyvojaribu kucheza kama pele