The following is presentation of what its authors believe to be the political reality in the country right now following a number of violent acts against unarmed citizens, activists, politicians and journalists.
I'm not sure to which congressional committee this presentation was made or presented. Some of you might seen it already; if you have not then please be advised that it is gore and graphic and very explicit.
Please be advised not to open it in the presence of minors.
Ndo maana tunasema hawa wanaojiita wanaharakati wa haki za binadamu ni maagenti wa kanisa. wameonyesha padri aliepigwa risasi kule zanzibar mbona hawajaonyesha yule shehe aliyemwagiwa tindikali. mbona hawajaonyesha mauaji ya muembechai? Je yale za Zanzibar jan 26/27 2001? na yule muislam aliyeuawa na wakristo kule shinyanga mbona sijamuona kwenye picha zao? vipi kuhusu viongozi wa CUF kupigwa na kukamatwa? na mengine mengi yanayofanana na hayo. kwa kweli wamedhirisha ukristo wao. pia kwa nini wameonyesha kikwete na viongozi wa kiarabu na wala si wakizungu ambao rasilimali zetu yakiwemo madini ndo wanaotuibia? inawezekana ikawa hawa mabaradhuli wametangaza vita rasmi, kwani wamejidhirisha kuwa ni maadui zetu.
yes, nakubaliana na wewe kuwa ccm has to go. ila sikubaliani na dhana akiwa muislam pale ndo ccm ionekane mbaya. tumeona matamko mbalimbali ya viongozi wa makanisa kipindi hiki lakini maaskofu hao hao hatukuwasikia wakitoa matamko yao kipindi cha mkapa pamoja na ufisadi ulitamalaki kipindi chake. nani asiyejua mambo kama epa, kiwira, iptl, tangold mwananchi, kuuzwa nyumba za serikali kiholela na mambo mengine mengi yamefanywa kipindi cha mkapa, hao maaskofu walikuwa wapi kutoa mtamko kama kweli wana nia ya dhati. tumeona viongozi wanaosemekana wametuibia hela zetu kama akina lowasa wakigawa mamilioni huko makanisani na viongozi haohao wakiwashangilia, mbona hawaonyeshi kuchukia kivitendo? hao wanaoitwa wanharakati ndo sitaki hata kuwasikia. lastly, niseme tu yes ccm has to go, but in what way? this is acritical question to be answered.Mnafanya makosa makubwa kuliingiza kanisa kila sehemu. Watanzania wamechoshwa na serikali ya CCM. CCM in'golewe.
yes, nakubaliana na wewe kuwa ccm has to go. ila sikubaliani na dhana akiwa muislam pale ndo ccm ionekane mbaya. tumeona matamko mbalimbali ya viongozi wa makanisa kipindi hiki lakini maaskofu hao hao hatukuwasikia wakitoa matamko yao kipindi cha mkapa pamoja na ufisadi ulitamalaki kipindi chake. nani asiyejua mambo kama epa, kiwira, iptl, tangold mwananchi, kuuzwa nyumba za serikali kiholela na mambo mengine mengi yamefanywa kipindi cha mkapa, hao maaskofu walikuwa wapi kutoa mtamko kama kweli wana nia ya dhati. tumeona viongozi wanaosemekana wametuibia hela zetu kama akina lowasa wakigawa mamilioni huko makanisani na viongozi haohao wakiwashangilia, mbona hawaonyeshi kuchukia kivitendo? hao wanaoitwa wanharakati ndo sitaki hata kuwasikia. lastly, niseme tu yes ccm has to go, but in what way? this is acritical question to be answered.
The following is presentation of what its authors believe to be the political reality in the country right now following a number of violent acts against unarmed citizens, activists, politicians and journalists.
I'm not sure to which congressional committee this presentation was made or presented. Some of you might seen it already; if you have not then please be advised that it is gore and graphic and very explicit.
Please be advised not to open it in the presence of minors.
Habari za kuaminika kutoka kwenye mtandao wa kidiplomasia zinasema kwamba Rais Kikwete amepoteza mvuto kwa viongozi wa Marekani. Na hata akienda Marekani hawezi kupokelewa na viongozi wa nchi hiyo. Hii inafuatia taarifa iliyotumwa na wanaharakati wa haki za binadamu waliodai Kwamba Kikwete amegeuka kuwa na Dikteta na mlinda mafisadi. Chanzo chetu kimeendelea kusema kwamba, Rais Kikwete alipanga kwenda Marekani Mwezi December, lakini ghafla safari ikabadilika kutokana na taarifa alizopewa na foreign affairs kwamba mambo siyo mazuri kwa upande wake.
Hivi majuzi mwezi wa pili, kuna waraka mzito umetua pale foreign affairs, iliyoandikwa na Congressman mmoja iliyotaka majibu kuhusiana na tuhuma nzito dhidi ya serikali yetu hasa kuhusiana na haki za binaadam ikizingatiwa kwamba Marekani inatoa fedha nyingi sana za misaada kwa serikali ya Tanzania. Kama hizi taarifa ni za ukweli, basi tunawashukuru wanaharakati waliotuma ujumbe kwenda congress ya marekani.
Mimi naomba wanaharakati wasiishie hapo. Waandae mashtaka ya kumpeleka Hague kwa mauaji aliyoamuru Tanzania.
Hujamsikia anakiri hadharani kuwa aliwaamrisha polisi wadhibiti wapinzani? Tangu lini wapinzani wakawa wahalifu? Mauaji ya Mwangosi, ukatili wa Ulimboka na mauaji ya raia wasio na hatia Arusha na Morogoro. Yote yametokana na amri zake.Apelekwe Hague kwa kesi ipi?
Chama
Gongo la mboto DSM
chama, vionozi wengi wa Kiafrika wakishapata madaraka hupumbaa na kufikiria fahari waliyo nayo bila kuona kwamba ipo siku wataachia nafasi hizo na kushika wengine. Matoke ni kuishia kuwa na maisha yasiyo na radhi mbele ya watu na kabisa dhamira zinapowashitaki kwa waliyo yafanya.Apelekwe Hague kwa kesi ipi?
Chama
Gongo la mboto DSM
Hujitambui wewe,peleka utaahira wako mbele huko.Apelekwe Hague kwa kesi ipi?
Chama
Gongo la mboto DSM
Hujamsikia anakiri hadharani kuwa aliwaamrisha polisi wadhibiti wapinzani? Tangu lini wapinzani wakawa wahalifu? Mauaji ya Mwangosi, ukatili wa Ulimboka na mauaji ya raia wasio na hatia Arusha na Morogoro. Yote yametokana na amri zake.