Kikwete,Yusufu Makamba na Pinda wanaotumika kusafisha Mafisadi kwa sasa.

SOVIET UNION

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
455
1,283
Iko hivi wakati wa awamu ya nne sina uhakika na awamu ya 3.Ila kwa awamua ya 4 hii tabia ilikuwepo sana, kulikuwa na utamaduni kwa wale wanao tuhumiwa na ufisadi hasa Wakurugenzi wa Halmashauri na wale wa Mashirika ya Umma walikuwa wanawatumia wastafu sana ili wakawaombee msamaha kwa wakubwa ambapo kipindi hicho alikuwa ni JK mwenyewe na waziri Mkuu Mizengi Pinda hata Lowasa kabla hajaachia ngazi.

Walio kuwa wanatumika sana walikuwa ni Rashidi Mfaume Kawawa RIP, huyu ndie alikuwa nguli wa kuwasafisha Mafisadi, Kingunge pia RIP, Cleopa Msuya, pia Mwinyi alikuwa anatumika kwa baadhi ya watu.

Huu utamaduni Ulikuja ukafa enzi za Jiwe na hakuna eli kuwa ana thubutu kwenda kujisafisha na hakuna alie kuwa tiyali kusafisha mtu hivyo utamaduni ukaisha.

Awamu hii sasa utamaduni umerudi kwa kasi ya kutisha na Kikwete, yusufu Makamba, Mizwengwe Pinda, Philp Mangura na Mwinyi pia hao kwa sasa ndio wanao tumika sana kwenda kuoombea watu msamaha kwa Mama au kwa Waziri Mkuu.

Wakurugenzi wa Halimashauri zilio pata hati chafu kwa mafano wengi wao wamisha ombewa msamaha, na hivyo kuwa katika mazingira mazuri ya wao kuendelea na kazi, msamaha ni kwa Mama au Waziri Mkuu na shairiti huwa ni wasirudie tena makosa, Pia huu utaratibu unatumiwa na Mabosi wa Mashirika ya Umma.

Utaratibu wanao tumia ni wa kuomba appoitment na hawa wazee na wanapo pata huenda wakiwa wanatembelea magoti hadi sebuleni na some time kulia kabisa wakitaka waombewe msamaha na pia huwa wanakili kwamba wamefanya makosa na wanaahidi kuto kurudia.

Kwa sasa kuna kasi ya appoitment za watuhumiwa kutaka kuonana na Wazee hawa kwa lengo la kuombewa msamaha kwa Mama au pia kwa Waziri Mkuu.
 
Nani ananawaamini hao. Tena Makamba sidhani Hata kama atadhubutu kufungua kinywa chake tena
 
Back
Top Bottom