Kikwete: Tanzania itaendelea kuunga mkono Zimbabwe

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
[h=6]Rais JAKAYA KIKWETE amesema kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono kwa dhati jitihada za Zimbabwe katika kutafuta muafaka wa kudumu wa kisiasa na daima itaendelea kushikamana na wananchi wa Zimbabwe katika jitihada hizo[/h]
 
Matamko mengine bora mtu ukaushe tu akma hujui kinachoendelea ....mtu na akili zako timamu unamsapoti Mugabe...
 
Mugabe ni kidume wa marais wote Africa. Hasujudu kwa mashoga ili apewe mlo kama ilivyo kwa wengine.
.
 
Sa atamungaje mkono mugabe wakati kila sku anashinda kwa maadui wake,. Hapo sjamwelewa kidogo jk,.
 
Back
Top Bottom