Kikwete part of AU's Ivory Coast panel

Baba Sangara

JF-Expert Member
Dec 16, 2007
293
154
South Africa part of AU's Ivory Coast panel | News by Country | Reuters

South Africa part of AU's Ivory Coast panel

Mon Jan 31, 2011 10:54am

ADDIS ABABA Jan 31 (Reuters) - The presidents of South Africa, Tanzania, Mauritania, Burkina Faso and Chad will form a high-level panel tasked with resolving Ivory Coast's leadership dispute, an African Union official said on Monday.

"The chairman of this group will call a meeting this afternoon to discuss a progrmme ... because they have to move, because they have only one month," Noureddine Mezni, spokesman for the AU Commission chairman, told reporters in Ethiopia.

The AU accuses incumbent President Laurent Gbagbo of clinging onto power after being defeated in a December poll by challenger Alassane Ouattara. The AU has said the panel's proposed settlement will be binding on both sides.

(Reporting by Richard Lough; Editing by David Clarke)
 
Wameliwa wangekuja kutuuliza kwanza badala ya kujibebesha bomu. Mbona hapa Arusha ameshindwa kutatua mgogoro wa meya tu je ni wa rais mwenzake tena mbabe kuliko yeye. pale ataenda kujichekesha na baadaye aningie mitaani kutafuta vibinti.

Halafu wametumia vigezo gani kuwachagua yeye ya Jacob zuma wazee wa vimwana? nina wasiwasi na utekelezaji wao kwani hawa jamaa u-serious wao kwenye mambo ya vimwana ni very smart ila kwa mambo wanayoendea huko ivory Cost ni kwamba AU imechemsha
 
Why Kikwete...how do they perceive him internationally? Is it because he made some noises about it? Treason is, but trusted like a fox! Aaaaaaagh
 
Sina tatizo na uteuzi wa JK ila haitendei nchi vizuri. Sisi watanzania tuna matatizo mengi sana ambayo yanahitaji attention ya raisi kama vile shida ya umeme wa uhakika; elimu duni ya sekondari inayotishia ushindani wetu kwenye soko la Africa Mashariki; Migogoro iliyokithiri kwenye vyuo vyetu; migogoro ya wakulima wazawa na wanaojiita wawekezaji nk. Maraisi wa Kenya, Uganda, Rwanda wao wako busy na maendeleo ya nchi zao badala ya kutafuta International Recognition
 
Bwana mvumbuzi acha kujidhalilisha. Jiulize maswala ya vibinti na usuluhishi na upatanishi wapi na wapi? alafu ujue hayuko mwenyewe. Wakitaka kuuliza hawatamuuliza mvumbuzi kwa niaba ya watanzania bali watanzania wote kwa ujumla. Kwa mawazo uliyonayo tukiwa kumi tu basi nchi hamna. Ya arusha ni damu iliyo mikononi mwa CHADEMA hiyo haikwepeki mtu wangu.

Nakubaliana na Vicent kuwa JK ajikite kutatua matatizo makubwa hapa nchini tena kwa kuwa mkali au dictator dhidi ya wabadhilifu na wavivu wanaoishia kufanya story ofisini. Ila asijifananishe na Kenya, Uganda na Rwanda maana nako kuna madudu yao. Hana cha kupoteza sasaivi ajijengee heshima ya ustaafu.
 
Why Kikwete...how do they perceive him internationally? Is it because he made some noises about it? Treason is, but trusted like a fox! Aaaaaaagh
Kidiplomasia, African Union wameamua kwa makusudi kabisa 'kumtukana' Rais Kikwete kumteua kwenye upatanishi huo wakati wakijua hali yake nyumbani ni tete zaidi kuliko hata ile ya Gbagbo na kuelekea kulipuka wakati wowote ule.

Mwizi wa uchaguzi kwenda kuamua wizi kama huo kijiji cha pili; ama kweli dunia hatuishiwa kuona maajabu kila kukicha!!!
 
kesi ya gedere anapelekewa nyani. taofauti ya Gbagbo na JK ni nini? mmoja kakataa hadharani kutambua matokeo mwingine kachakachua tena waziwazi ili atangazwe mshindi!!! nadhani AU wanataka kupata sympathiser wa LG ili naye awapokee kwa amani. naamini pia badala ya Raila wangempeleka Kibaki, LG angempokea kwa mikono miwili as kama alivyo JK wote ni washindwa kwenye general elections za nchi zao
 
Translated from French - Jean Ping adaiwa kula USD 4 Mio kumtetea Gbagbo
Source Pour retourner la situation en sa faveur Addis-Abeba : Gbagbo jette des milliards par la fentre - Abidjan.net Actualites


Concordant sources, lobbyists sent by Laurent Gbagbo, to meet with heads of State Peace and Security Council of the African Union, in view of the summit in Addis Ababa, did not go empty handed . In addition to the verb, they tried to return some interlocutors through hard cash.

The truth will always be the big day! While the Ivorians will not know what made their day, they are anxious about whether they can continue to eat their fill, the former regime is gone distribute money in Addis Ababa (Ethiopia). Indeed, in an attempt to turn the situation into his favor, Laurent Gbagbo urged his envoys to be particularly generous. And the number of persons against which he had to show caring, reveal our sources, figured prominently, Jean Ping. Given its strategic position as President of the African Commission, is a whopping $ 2 billion that would have pocketed the Gabonese to be more favorable to the leader of the presidential majority. Is that entrust our interlocutors, Mr. Ping, who has visited Abidjan on 17 December last, appeared open to "all the discussions." Just refer to his double-speak used in the Golf Palace and the Palace of the Plateau to be convinced. Gbagbo's camp went well and received signals sent by the former foreign minister of Gabon, has decided to respond positively to his message. Hence the procrastination of it during the summit in Addis Ababa.

Just as the president of the African Union Commission, other Heads of State of the CPs, especially those in southern Africa, not too aware of the fact, received their share of the pudding. Their mission: to obstruct the maximum alignment of the CPs on the positions of the Economic Community of West African States (ECOWAS), more favorable to the winner of the presidential elections of 28 November 2010, Alassane Ouattara. Where some have received directly, the return for their support, in cash, others have obtained, in kind. It is these heads of state who tried, from the beginning of the meeting, to play spoilsport, delaying the use of force against Laurent Gbagbo. Unfortunately, the Ivorians, namely those who blindly support the one who lost the elections, will have their eyes to weep. Nothing guarantees them that they will be paid next month. Not only because all the idlers of the clan were sent to Addis Ababa, at the expense of''Princess''but in addition, substantial funds have been thrown on the fly, trying vainly to corrupt public figures.
 
Duh!

Hakuna kitu hapo. Hii ni sawa na kumleta Gbagbo awe msuluhishi kwenye mgogoro wa uchjakachuaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010 Tanzania.
 
Gbagbo hata kuchakachua alishindwa.. Hata na malalamiko yake yote kutazamwa bado akashindwa..
 
ki ukweli kikwete nae awe anajipima nyumba yake inafuka moshi ikiwa na maana kuna moto ndani, leo anateuliwa kuzima moto wa nyumba ya jirani tena anakwenda kwa kujichekesha huku akisema wamemuona anafaa, hapo au wamechemka, yeye angetakiwa kwenda kwenye mashindano ya miss world, kwenye mziki wa r & b wa kina boyz 2 man, hizo ndo sehem zake.:clap2:
 
Wanampeleke Kikwete huko kwa kuwa wanajua anapenda kuzurura kila wakati, wakati marais wachapa kazi wanataka kutulia nchini mwako, wangemjaribu M7 angegoma kwa vile kaamua kutulia Uganda
 
Hii yote rongorongo tu ya AU.
AU wameshindwa kutatua mgogoro wa Ivory Cost na sababu hasa ni kuwa VIONGOZI WOTE WA KIAFRIKA WANA TABIA ZINAZOFANANA KAMA BAGBO.TABIA YA KUNG'ANG'ANIA MADARAKA. Wanatafuta panya wa kumfunga PAKA kengele!!!Hakika huu ni utani na mchezo wa kuigiza.

Kwanza katumwa Oginga PM wa Kenya akaolewa nje. Maana Kenya nako MWAI KIBAKI ALIFANYA KILEKILE ALICHOFANYA BAGBO.
KIWETE ana usafi gani wa kwenda kumshawishi Bagbo ILHALI MAMBO YA KWAKE HUMU NCHINI YANAMSHINDA????????
KIWETE HUYU HUYU KWENYE UCHAGUZI WA MWAKA JANA 2010 ALISHINDWA VIBAYA SANA NA CHADEMA IKABIDI ACHAKACHUE MATOKEO YA KURA ILI AENDELEE KUBAKI MADARAKANI!!!!

Kama ndiyo ningelikuwa BAGBO ningelimwuliza KIWETE maswali 2 tu ambayo yangelikata stimu yake ya kuja kunipatanisha na OUATTARA.Maswali yenyewe yangelikuwa kama ifuatavyo:

  1. Mr. President,JM KIWETE, katika Uchaguzi mkuu wa Tanzania wa 2010,wewe na chama chako cha CCM mlishinda kihalali?
  2. Kama mlishinda kihalali kwanini uliwatumia NEC/UWT kuchakachua matokeo ili ubakie madarakani?
  3. Kwanini kule Arusha Meya wa chama chako cha CCM alishinda kura za Umeya wakti Madiwani wa CHADEMA hawakuwepo ukumbini?
  4. Kwanini Polisi wa serikali yako walitumia RISASI ZA MOTO KUZIMA MAANDAMANO YA WANA-CHADEMA kupinga matokeo ya Umeya?
  5. Kama wewe na Chama chako mmeshindwa KUTATUA MGOGORO WA JIJI LA ARUSHA TU,utaweza kutatua mgogoro wa nchi yangu Ivory Cost??
Najua KIWETE hatakuwa na majibu ya maswali haya. Hapo nitamwambia AONDOKE ZAKE AKAMALIZE KWANZA MGOGORO WAKE NA CHADEMA ndipo aje tuzungumze!
 
Kesi ya nyani kuiba mahindi hakimu Ngedele unategemea nini?
 
Sina tatizo na uteuzi wa JK ila haitendei nchi vizuri. Sisi watanzania tuna matatizo mengi sana ambayo yanahitaji attention ya raisi kama vile shida ya umeme wa uhakika; elimu duni ya sekondari inayotishia ushindani wetu kwenye soko la Africa Mashariki; Migogoro iliyokithiri kwenye vyuo vyetu; migogoro ya wakulima wazawa na wanaojiita wawekezaji nk. Maraisi wa Kenya, Uganda, Rwanda wao wako busy na maendeleo ya nchi zao badala ya kutafuta International Recognition


Mkuu kwa upande wangu sioni tofauti ya JK (aka Sindbad) akiwa hapa nchini au nje!!
JK anapenda sana hizo kazi zinamhusisha kusafiri nje, maana ndiyo muda wake muafaka wa kufanya mambo yake ya hovyo!!! Yooooote yaliyotekea hapa nchini alikaa kimya muda mrefu utadhani hakuwepo.

Mwache afaidi safari ila kuna siku atakuwa watu wake wamemzunguka wamechukua nchi... nina uhakika si watu wake woote wanofurahia hali ya nchi sasa!!!
 
Back
Top Bottom