Kikwete ni sawa na charles logan wa 24

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Nilikuwa nikifuatilia tamthiliya ya 24 season 5 na kugundua maamuzi aliyokuwa anachukua logan ni sawa kabisa na haya anayochukua jk. Sijui coincidence ani hii jamani maana kwenye ishu muhimu akishauliwa ye haelewi kitu ila mambo yake tu na ya maswaiba wake jamani. "...i know your president(logan) is a weak man he will comply to our demands..." said beresch telling jack bauer at airport where they were holding hostages

mwenye michango nakaribisha
 
Kwa mfano aliidhinisha palmer afe ili maslahi ya washirika wake yatimie, sawa na kikwete kuidhinisha mauaji ya arusha ili utawala wake usiumbuliwe na chadema kuhusu dowans/richmond/iptl n.k
 
Jk. Amefunika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni HUYU JAMAA KAFUNIKA NA UMEPATIA KABISA INGAWA LOGAN AMEMZIDI HATA UJANJA KIDOGO WA HILA HUYO ANAPELEKWA KAMA DOLI LA RA NA EL
 
ni kweli kabisa jk ni zaidi at least logan alikuwa anatumia ht akili kdg huyu jk ni ziro kbs kinachouma ni kuwa logan alikuwa anaigiza huyu wetu anafanya weli udwanzi!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom