Kikwete ni mzigo kwa taifa.

Chaguo la NEC hilo ni sawa maana hata hao Nec wanafamilia zao humu Tanzania hivyo pale hali ya maisha inapokuwa ngumu hata wao inawagusa hata kama wa maprosoo
 
Uliona lile dongo la Mgaya wa TUCTA la magari ya kifahari na upotevu wa pesa ali-argue kitu? si yupo yupo tu anatimiza jina la kuitwa Rais hata hawezi kumwajibisha m2 yoyote. YAANI IKULU KUNA KICHUGUU NA SI MTU
 
hana vision, hana plan, hana lolote. yaani yupo yupo tu ili mradi yupoyupo. he is a joke. simpendi kama nini! 6 years in power, nothing tangible delivered. kazi kuchekacheka tu. what a president is this? ivi Mungu ana mpango gani na sisi Watanzania?

yaaani ukitaja vision ndo unamchanganya kabisaaaaa.muulize hata timetable hana... yaani ni rais boga kuliko wote niliowahi kusikia maishani mwangu....
 
Okey what should we do as tanzanian?
Talking talking too much let us do action
its sound the most whose behind this?
Unafahamu nani tajiri mkubwa kijana
Tz na hana elimu ya kutisha even in business?
 
Hivi mnajua wafanyakazi wengi wa serikali hawajapata salaries zao za April! Thanks tu mkulu wa nchi, kamaliza pesa hazina kwa kuchakachua kura na mambo mengine myajuayo!

Source: personal communication na one of Govt Officer
 
Hapana ndugu zangu. Msiwe hivyo. Hamtendi haki na Mungu Hapendi. Hakuna kibaya kwa 100% wala kizuri kwa 100%. Ana mazuri na mabaya.

Kuendesha nchi siyo kitu rahisi kama mnavyofikiria. Kuna mambo lukuki mazuri ya Kikwete lakini tatizo hana watu wazuri wa kuyaelezea na ukizingatia
this is a media era.

Ndugu zangu wengi wenu ni waathirika wa media, ambazo baadhi ya wamiliki wake na baadhi ya waandishi wamemtendea dhambi kubwa sana jk. (sacrilegious sin).

Tatizo lake kubwa ninalowaunga mkono, amewachagua baadhi ya watu wameshindwa kumsaidia kutokana na culture ya watanzania.

Nitafafanua ikihitajika. Mind set is a our problem and the solution is will never come from either political parties, constitution, multiparty, union, Tanganyika nor new leadership but change of our mindset. Change of our mind set is what i believe in.


Hata wale vijana walioshobokea azimio la arusha pale mlimani mgelibahatika kuwatazama usoni nafsi zao hazikuwa tayari kuishi katika azimio la arusha. ni kwasababu hawajaanza maisha tu. Kazi tunayo nduguzangu. Nawaunga mkono kuwa kazi tunayo natofautiana nanyi kuwa tatizo ni jk.
 
:israel::israel::israel:Kwa JK, Watanzania tumepoteza, ni laani kubwa kwa maendeleo ya TZ kama nchi na kwa m2 mmoja mmoja! Uwezo wake ni hapo alipo fikia, hana jipya zaidi ya kujichekesha chekesha!:israel::israel::israel:
 
Masimuonee jamani kwani hamjui siasa ni mchezo mchafu?? mwacheni ale vyake aondoke. hata akikaa nani ni kula na kuondoka.
 
Naunga mkono hoja. naamini katikakipindi ambacho nchi hii imepoteza mwelekeo kwa kukosa kiongozi ni kipindi cha jk. mzee ruksa walau kulikuwa bado na influence ya mwl. kwa mawazo yangu siamini kama jk atamaliza miaka 4 iliyosalia...call it dua la kuku....lkn tupo na dunia inabadilika na kwa vile muungwana kafika mwisho wa uwezo wake, tz itazidi kumshinda na mwishoni ataangamia...tusubiri na tusshiriki
 
Dah! tuombe radhi Utingo! waliompa ushindi ni NEC mkuu

yawezekana Utingo yuko sahihi mkuu, mara ya kwanza alipoteuliwa na ccm kuwania urais baada ya mkapa, nchi yote ililipuka kumshangilia mpaka viongozi wenu wa dini wakasema ni chaguo la Mungu
 
Back
Top Bottom