Kikwete kanena,asema amestaafu na anamuunga mkono Rais Magufuli

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,415
1,379
Screenshot_2016-10-27-23-03-41.png
 
Tamko kalitoa ndani ya sekunde 30,usharusha huku mkuu?,uko sharp kweli,
Jakaya Kikwete
@ jmkikwete 28s
Nimestaafu naomba niachwe nipumzike. Nisingependwa kuhusishwa na siasa za mtandaoni dhidi ya Serikali. Namuunga mkono Rais na Serikali yake.
View details ·
 
Dongo kwa ukawa, waelewa watakuwa wameelewa propaganda za hivi karibuni ku-twist maneno yake, muda si wazee wengine wataongea nao wanafiki waache kutumia maneno yao kuyatwist kupata maana wanazotaka.
Muacheni mzee jk apumzike!!
 
Kwani hakujua ktk maelezo yake yangetumika yanavyotumika sasa mitandaoni? Mzee ulieleweka na kwa namna moja ama nyingine ujumbe ulifika! Tulia sasa mambo yanaweza kwenda sawa!
 
."Ukiwa mpya lazima watu waone una mambo mapya, lakini mapya ya maendeleo, Sio mapya ya kubomoa ya kule tulikotoka
 
Na ilo pia upinzani watapotosha.. Ila wao ukiwakumbusha kauli zao za zamani kuhusu [HASHTAG]#TrumpLowasa[/HASHTAG] wanakua wakali sana
 
Inaonekana alizungumza bila kugikiria impact ya m
7207f2477e8a4b133cddb8a34a6ee355.jpg
lugha gongana ila amesema anamuunga mkono
Inaonekana alisema bila kufikiria vizuri au kuchagua maneno sahihi. Ila wanasema kiujazacjo moyo ndiyo kikutokacho kinywani! Atakuwa anajutia hiyo kauli. Iko very clear wala haihitaji tasfiri!
 
Inaonekana alizungumza bila kugikiria impact ya m

Inaonekana alisema bila kufikiria vizuri au kuchagua maneno sahihi. Ila wanasema kiujazacjo moyo ndiyo kikutokacho kinywani! Atakuwa anajutia hiyo kauli. Iko very clear wala haihitaji tasfiri!
Achana na Wana siasa yani hii kauli hata wiki haijamaliza
 
Uzuri wa ccm inahazina kubwa sana ya viongozi wakiwemo wazee na hata vijana.
 
Hana sababu ya kujibu kila kinachojadiliwa mitandaoni dhidi yake

Anayo sababu ya kujibu, amemjua Magufuli ni mtu vindictive, arbitrary and capricious, ana visasi vya wazi wazi, anaweza kukataa "kutumia mkono wake" kusaini ma cheki ya gharama za masafari ya JK na matibabu yake nje ya nchi.

Zamani JK alikuwa Rais, anasema chochote bila backlash. Sasa hivi chochote anachokisema can be used against him in the Kangaroo court of Magufuli's whims.

JK nae kadata, kama kawaida, umestaafu vipi wakati unatoa ma public statement kuhusu maendeleo? Manake nia yake ni kumpiga dongo JPM, sasa alitegemea nini yani, yangeishia pale? Light weight always.
 
Haha jamii.forum inanifanya nisifikilie kufuata vijiwe vya stori,
 
Rais Kikwete ametweet Mara mbili Mimi kama green Guard mtiifu sijakulia mikoa ya Pwani naomba kueleweshwa.

1. Nasikitishwa sana na matumizi mabaya ya picha zangu mtandaoni hususan watu kunilisha maneno kwa kutaka kutimiza malengo yao ya kisiasa.

2. Nimestaafu naomba niachwe nipumzike. Nisingependwa kuhusishwa na siasa za mtandaoni dhidi ya Serikali. Namuunga mkono Rais na Serikali yake.

Aliyoyanena juzi ndio yamempeleka kuandika hivi, only if angekuwa na uwezo wa kuyafuta na kuondoa mitandao iliyomrusha tusione.

Ulimi ndivyo ulivyo...eti ni kama aliteleza siku hiyo. Tumekusoma ila ulinena tulikusikia na hatutasahau ulimponda.
 
Back
Top Bottom