Kikwete Arrives In Perth For Club Summit

kikwete kaondoka nchini tarehe 23. Mkutano unaanza tar 28 na kudumu kwa siku 3. Siku 8 nzima jakaya yupo nje ya nchi. Tafakari...

Aende hata miezi mitatu akale raha, huku nyumbani shida imekua mwenzetu, hasa pale chai yenye sukari inapokua kinywaji cha anasa.
 
Hivi nani humpangia mavazi huyu jamaa? Amevaa kama anaenda kukagua mahindi shambani

Jakaya-Kikwete5.jpg
 
Back
Top Bottom