Kikwete apewa kitabu, atakisoma?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
[h=3][/h]

Katibu mkuu wa zamani wa umoja wa mataifa (UN) Kofi Annan akisalimiana na rais Jakaya Kikwete baada ya kumkabidhi kitabu chake. Kwa wanaojua jinsi Kikwete anavyozidi kuua elimu na maadili nchini wanashangaa kama hii ni zawadi au suto. Je Kikwete asiye na muda wa kutulia hata kufanya kazi zake atapata muda wa kusoma hicho kitabu? Kikwete asiye na utamaduni wa kujisomea atakisoma au kukiweka kwenye shelves na huo kuwa mwisho wake? Kikwete rais atokanaye na kizazi kisichosoma wala kutunga na kuandika na kitabu wapi na wapi?
 
Ana watu wa kumsomea ... shida juu ya nini?
 
huwa mara nyingi namsikia na kumuona Mzee Mwinyi kwenye mijadala ya Kiswahili kwenye media, je amewahi kufanya compilation yoyote ya anayoyaongea pia??

Bravo Mzee Makamba nilikuona unazindua kitabu chako siku moja lakini sijakiona madukani maana nilikuwa natafuta nakala yake kwa udi na uvumba
 
naye wangempatia kile cha kwake cha 'JK - Tumaini Lililolejea' au cha Profesa ili wabadilishane kama business cards
 
Annan kama former UN secre ana mambo mengi ameyaona na experience....ni bora amedocument ili tujue kinachoendelea. Huwenda even Pres Kikwete will do the same atakapomaliza ng'we yake on Tanzania politics, economy and religion
 
Katibu mkuu wa zamani wa umoja wa mataifa (UN) Kofi Annan akisalimiana na rais Jakaya Kikwete baada ya kumkabidhi kitabu chake. Kwa wanaojua jinsi Kikwete anavyozidi kuua elimu na maadili nchini wanashangaa kama hii ni zawadi au suto. Je Kikwete asiye na muda wa kutulia hata kufanya kazi zake atapata muda wa kusoma hicho kitabu? Kikwete asiye na utamaduni wa kujisomea atakisoma au kukiweka kwenye shelves na huo kuwa mwisho wake? Kikwete rais atokanaye na kizazi kisichosoma wala kutunga na kuandika na kitabu wapi na wapi?

Mbona unaongea maneno mpaka povu la Gego la mwisho linakutoka? JK yaonyesha anakuuma sana kwa utendaji wake ? Na kumbuka rais ni taasisi si mtu mmoja ukilijua Hilo povu lote litakuisha, teh teh teh
 
Jamani mbona madonge mnamtupia baba yetu JK? Mbona alisoma ile sheria ya Uchaguzi kwa ufasaha kabisa kwani atashindwa kusoma haka kakitabu? Tehe Tehe Tehe. Mpoooooooooo?
 
kwa hiyo anasomewa, anapewa brief, nae anatafuta kusoma page iliyomvutia! kama ni hivo anaweza soma vitabu vingi sana mpaka atoke IKULU

Mbona unaongea maneno mpaka povu la Gego la mwisho linakutoka? JK yaonyesha anakuuma sana kwa utendaji wake ? Na kumbuka rais ni taasisi si mtu mmoja ukilijua Hilo povu lote litakuisha, teh teh teh
 
kwanza tujiulize asome hicho kitabu kimeandikwa kwa kiswahili au kiingereza?hebu acheni utani bana tabi lote hilo asome huyu?hahaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom