msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,067
- 1,136
Ina maana haya yaliondikwa kuhusu CCM ni UDAKU? ....Kila Mtu ni Mdaku... CCM Viongozi wote ni Wadaku... Wahariri woote wa Magazeti yetu nchini ni Wadaku...
Ina maana haya yaliondikwa kuhusu CCM ni UDAKU? ....Kila Mtu ni Mdaku... CCM Viongozi wote ni Wadaku... Wahariri woote wa Magazeti yetu nchini ni Wadaku...
You mean vikao vya chini, hakuna kikao cha juu kuliko Mkutano Mkuu, first of all!
Second of all, you can not say Mkutano Mkuu una rubber stamp maamuzi ya Halmashauri Kuu kwa sababu Halmashauri Kuu inapeleka majina matatu, sasa Mkutano Mkuu una rubber stamp uamuzi wa jina lipi? hahahahaaa....that's extremely ridiculous.
Waandishi kwa nini msijielimishe kwanza kuhusu habari unayotaka kuchapisha gazetini?
Hapo penye wekundu ndipo umekosea wazee gani hao ambao angalau wana misimamo inayokaribiana na Nyerere?akina Kingunge Mkapa,Mwinyi na wengineo ,ni kipi walichokifanya kuinusuru nchi katika hali tete tuliyonayo?hao wazee wamekuwa mzigo kwa wanachi wa wakawaida ,wapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao tu,heri waondoke tu kwanza ni wazee wanafiki wamejaa ushabiki na hawana uthubutu wa kukemee maovu kwa kuwa nao ni wazee wachafu.Mwacheni Nyerere apumzike ,wakati wote atakuwa kwenye miyo ya WatanzaniaWHO CARES ANYMORE ABOUT mambo ya CCM hii ya sasa ambayo majuzi imetwaliwa rasmi na mikono ya MAFISADI mara baada ya kuwaengua wazee wenye msimamo unaokaribiana japo kwa robo na ule wa Mwalimu Nyerere chamani??
Acheni CCM kife salama na hiyo mikakati ya kuzunguka mbuyu bila kumvua yeyote GAMBA LA UFISADI kama tulivyotarajia.
the way watu wanavyoutafuta uraisi aisi duh ni do or die
Naona sasa posho za wabunge zipunguzwe kwani sasa watakuwa hawafanyi kazi mbili kwa wakati mmoja kwani hizo posho za ubunge ndio walikuwa wanazitumia kwenye u NEC,sasa nimeamini ubunge unalipa kwani wabunge kwa kuwa wa NEC wanajihakikishia kuwa wabunge yaani huo mzunguko ni kama mchezo wa pia(kwa vijana wa zamani wanaijua pia),pia inazunguka mahala palepale huku ukiicharaza bakora ,unapocharaza bakora kwa spidi nayo ndio huongeza spidi,ukiacha inaangukaDa nimesoma habari hii, nimejikuta nacheka tu. Wabunge walipisha kichwa kichwa hawakujua kuwa ni kitanzi kwao du!
Wassira anadaiwa kumuuliza mjumbe mwenzake wa Kamati Kuu na NEC, Abdulrahman Kinana; Hivi hili suala la wabunge kutogombea u-NEC limefia wapi? Naye Kinana baada ya kucheka akamjibu; aaah, mbona limeshapitishwa muda mrefu!
tehetehete!!!! huyu alikuwa amesinzia lakini macho wazi......
Hapo penye wekundu ndipo umekosea wazee gani hao ambao angalau wana misimamo inayokaribiana na Nyerere?akina Kingunge Mkapa,Mwinyi na wengineo ,ni kipi walichokifanya kuinusuru nchi katika hali tete tuliyonayo?hao wazee wamekuwa mzigo kwa wanachi wa wakawaida ,wapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao tu,heri waondoke tu kwanza ni wazee wanafiki wamejaa ushabiki na hawana uthubutu wa kukemee maovu kwa kuwa nao ni wazee wachafu.Mwacheni Nyerere apumzike ,wakati wote atakuwa kwenye miyo ya Watanzania
Sasa kama Kikwete hakupitishwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM mwaka 2005 nani alipitishwa, Sofia Simba?..ndio mana kikwete hakupitishwa kugombea urais mwaka 2005
Dr asha rose migiro kaandaliwa kubeba mikoba ya jk kiulaini tusubili yetu macho