Kikwete, angalia waziri wako Makalla

Man 4 M4C

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
743
114
Katika mkutano wake wa leo kidudwe mtibwa 27.08.2012 Makala anaacha kuongea mambo ya maana anakalia mambo ya kinafiki na ya kipuuzi mno. kweli JK ulikosa waziri wa kumteua?
Angalia hoja zake hapa.
  • Anasema wananchi walipiga picha na mh mnyika kila picha walichajiwa sh 10,000.00 na pesa ikanywea pombe,hivi huyu ni naibu waziri kweli au mtu wa mtaani? hoja zake hazina mashiko.
  • Anasema wananchi walipiga picha na mh mbowe kila picha 20,000.00..............haya yote anasema yemefanyika katika mkutano wa chadema wa madizini mtibwa. Ameyasema haya katika mkutano wake wa kidudwe mtibwa leo tarehe 27.08.2012.
  • PIa amegawa pikipiki 6 kwa watu kutoka kata za mbali ambazo angeweza kuwagawia huko huko kwenye kata zao kwani alikuwa huko akifanya mikutano. Tunahoji kwanini hakuwagawia kwenye kata zao hadi awasombelee kwa basi kuja kidudwe?
  • Pia anasema cdm wamemuua diwani wao sasa si aende polisi kutoa ushaidi? Hapa tunawaomba polisi mumuhoji Makala na awape ushahidi yawezekana anajua kilichojili. Rekodi zipo kwenye mkuatano wake wa kidudwe.
  • Kaka unafikiri unjijenga kisiasa unazidi kuharibu bora ungeandaliwa hotuba na kisha ukaisoma.
  • Tunakuomba muulize mil 75 mfuko wa jimbo 2010, mil 85 mfuko wa jimbo 2011 na mil 105 mfuko wa jimbo 2012 zipo wapi? au ni hizi pikipiki 6 alizogawa leo kijiji kwa baba yake na huku mzazi wake anatumia baiskeli ya anita? tunataka jina lako unalojiita Jembe karudishe shamba la Mkindo,Uwanja wa Mpira wa Hembeti,Mafao ya wastaafu wa Mtibwa, Haki za wakulima wa miwa n.k
 
Kikwete na shemeji yake mwema wametuulia chama
 
Watabibu wakishasema mgonjwa arudishwe nyumbani, Ni wazi kuwa mgonjwa akafie nyumbani. CCM hawana tena mtu wa kuwatibu, Chama kinamajeraha makubwa mno na kitafia Mikononi mwa utawala wa kikwete!
 
Makala wananchi wamemstukia anakula hela za mfuko wa jimbo lake ; wanamuuliza awape mahesabu amezifanyia nini miaka yote ya ubunge wake? Makala pengine ndio pesa na mfuko wa Mvomelo alikuwa anawatunza waimbaji wa Akudo Impact ili wamuimbe kwenye bendi yao!! Ccm wote wameoza na huyu Makala ndio wale wale.
 
Watabibu wakishasema mgonjwa arudishwe nyumbani, Ni wazi kuwa mgonjwa akafie nyumbani. CCM hawana tena mtu wa kuwatibu, Chama kinamajeraha makubwa mno na kitafia Mikononi mwa utawala wa kikwete!

Wewe wagonjwa zetu tunawapeleka wakafie St. Thomas!
 
Makala huyu ni wale wale wa iramba kama mwigulu.huko kapelekwa na mafuriko ya sekenke yaliyopitia kibaigwa mpaka moro
 
Makala alikuwa mtunza fedha wa CCM, baada ya hapo nafasi yake imechukuliwa na Mwigullu, kwahiyo Makala= Mwigulu=0
 
Makala ni waziri?ivi mtu anaimbwa imbwa kwenye miziki na akudo halafu unampa uwaziri wewe una akili kweli au ?
 
Wewe wagonjwa zetu tunawapeleka wakafie St. Thomas!

haha huyo aliyefia huko si aliuliwa na CCM ikiongozwa na Mkapa ili wabinafsishe Viwanda na matokeo tuliyaona na tunaendelea kuteseka... Mtoto wa Nyerere aliyasema kwa Uhakika
 
Back
Top Bottom