Kikwete amlipia mahari mtangazaji Cyprian Musiba

Sasa kama mwanamke thamani yake ni zaidi ya pesa iweje pesa ndiyo itumike kama mahari? Na kwanza iweje mtu atoe kiasi cha pesa taslimu kama mahari? Hadi kufanya hivyo si anakuwa keshamthaminisha huyo anayemtolea mahari...au?

Kutoa na kukubali pesa taslimu kama mahari ni kumfanya mwanamke awe bidhaa.

sio kweli nakukatalia, mara nyingi mahari huwekwa vitu kama vile ng'ombe , mbuzi, kondoo , majembe, mablanket, mashuka, vitenge nk kwa watu kaam wachaga basi hata pombe huwa ni sehem ya mahari pamoja na chakula. kinachotokeaga sasa huwa mara nyingi waoaji hawawez kuleta hivi vitu kama vitu kwasababu kwanza ni tabu kuvibeba lkn pia ni usumbufu. ili kuweza kutimiza lengo basi huvibadili vitu hivi kuwa pesa ili atkeast kama vipo vya lazima sana vya kuletwa basi vibaki vile vinavyobebeka.

pesa kama pesa huwaga naona ni kwenye mkaja wa mama ambao hapa mama hutakiwa kusafishwa kwa pesa cash. pombe wengi husema nitatoa cash ili mnunue wenyewe lkn pia kuna zile ambazo waoaji hutakiwa kualeta siku ya kukabidhi mahari yao.

so kama mwoaji hatak kutoa pesa basi anunue hivyo vitu apeleke atakua ametoa mahari kusudiwa
 
Mimi kutoa pesa naona ni sawa tu na kumfanya mwanamke awe bidhaa inayonunuliwa. Na hivi hizo pesa huwa zinaenda wapi sasa?
 
Mimi kwanza kabla ya kumshangaa huyu mwanaume, nimeshangazwa na wingi wa hiyo cash ya mahari...
Hivi ni kweli mahari imekuwa kubwa kiasi hicho (3mil)...mmh hiyo familia ya mwanamke ni kama walikuwa wakomoaji.

Hahaha huyo mwanamke ndio mburula. Ameshindwa kuongea na wazazi wake juu ya hii trading kwamba mnunuzi hana uwezo? Na mwanaume anaelipiwa mahari hayo majukumu mengine ya kifamilia yatakuwaje?

Kuna watu wamezaliwa kwa ajili ya kujikomba duh
 
Fanya ubwege mwingine lakini sio kutolewa mahari na mwanaume mwenzio! Subirini.
 
Mimi kutoa pesa naona ni sawa tu na kumfanya mwanamke awe bidhaa inayonunuliwa. Na hivi hizo pesa huwa zinaenda wapi sasa?

ulishawah kuoa ama kushriki kwenye mahari?? basi pesa hizi hutumik kununua vile vitu ambavyo mwanaume alitakiwa kununua ili kulipa mahari ya binti husika.
fedha hizi pia hutumika kupika chakula ili siku ya kukabidhi mahari kwa ukoo wa binti husika watu wale na kunywa. na sehem ya mahari hii huwa kama mali ya familia aliyotoka binti hasa ng'ombe na mbuzi.

mara nyingi sana chunguza kweye familia nyingi baba ndiye humlipia mwanae mahari, na ikitokea kwamba anao dada walioolewa wakalipiwa mahari basi huchukua sehem ya ngo'mbe na mbuzi amba binti yake alipewa kwenda kumlipia kaka mtu mahari.
 
Mimi kutoa pesa naona ni sawa tu na kumfanya mwanamke awe bidhaa inayonunuliwa. Na hivi hizo pesa huwa zinaenda wapi sasa?

kama hutak kutoa pesa basi njoo na vitu ulivyoagizwa yaani ng'ombe, mbuzi, kondoo, mablanketi majembe, mashuka vitenge na pombe.
 
Musiba amedharirisha familia ya kikwete na ukoo wao wote majitani.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
kama hutak kutoa pesa basi njoo na vitu ulivyoagizwa yaani ng'ombe, mbuzi, kondoo, mablanketi majembe, mashuka vitenge na pombe.

Kheee...mavitu yote hayo ya nini? Beberu mmoja hatoshi?

Ndo maana napinga kabisa hayo mambo ya mahari. Ni upuuzi mtupu.

Sijawahi kutoa mahari, sitakuja kuitoa, na siku ya siku ikifika kama bado niko hai basi wala sitaiomba wala kuidai toka kwa mkwe. Never.
 
Hahaha huyo mwanamke ndio mburula. Ameshindwa kuongea na wazazi wake juu ya hii trading kwamba mnunuzi hana uwezo? Na mwanaume anaelipiwa mahari hayo majukumu mengine ya kifamilia yatakuwaje?

Kuna watu wamezaliwa kwa ajili ya kujikomba duh

Nionavyo mimi ni kuwa anayetoa mahari ndio anayekabidhiwa mke.
Sasa hapo sijui nani 'alikabidhiwa' huyo mke..!!
Khaa !!
Yaani mimi naona afadhali 'ukope' mahari, kuliko 'kusaidiwa' mahari na mwanaume mwingine..!!!!
 
Kheee...mavitu yote hayo ya nini? Beberu mmoja hatoshi?

Ndo maana napinga kabisa hayo mambo ya mahari. Ni upuuzi mtupu.

Sijawahi kutoa mahari, sitakuja kuitoa, na siku ya siku ikifika kama bado niko hai basi wala sitaiomba wala kuidai toka kwa mkwe. Never.

inategemea na jins mila na desturi zenu zilivyo.
kuna ambao wanaona kondoo mmoja tu anatosha ila kuna ambao kila kitu kinajengewa hoja ya kuitetea na mwenye kuitoa utaona logic behind it.
 
Mimi kwanza kabla ya kumshangaa huyu mwanaume, nimeshangazwa na wingi wa hiyo cash ya mahari...
Hivi ni kweli mahari imekuwa kubwa kiasi hicho (3mil)...mmh hiyo familia ya mwanamke ni kama walikuwa wakomoaji.

Hahahaaaa.. Pengine mwanamke ni mzuri sana, yani ana kiwango cha juu sana cha uzuri ndo maana. Teh teh
 
Wanawake wa siku hizi hawakawii kukuchamba..:......"mwanaume utakua wewe hata mahali walikulipia"......

haya mambo ya kulipiwa mahali ni aibu kwa kweli.
 
Kama hii ni kweli alitamka Mr Musiba.....basi upstair pake pana tatizo.......du mshkaji amechemkaje??....aiseee siamini. Halafu hilo ndilo goma la 3m??...poa lakini

Hahahahah,
Kwan we mkuu ilo goma ungetoa sh ngapi fasta fasta?
 
Back
Top Bottom