Kikwete alikataa wimbo teule wa EAC kwa kudai ni wa "kikristo mno"

Angesema pia basi kama huyo Mungu wa wimbo wa Taifa ni muislam mwenzake . Upuuzi mtupu . Ameshatunga wa kwake au ?
 
Udini Tanzania aliuanza Nyerere baada ya yeye kuaminiwa na wapigania uhuru wa Dar es salaam, na kumkabidhi madaraka ya chama. Mbegu aliyopanda nyerere ndio hii tunavuna leo!
We still have time to correct the mistakes. Inavyoonekaana badala ya kurekebisha ndio tunabomoa kabisa.

waislam bana hamkubali hamuuziki sio africa tu kila mahali. Lugha chafu ndo inayowaponza. Nangojea minaret ziimbe kaswida ya east africa community from msikitini kiruuuuuuuuuuu....wabarakatu astagafilurahimuuuuuuu

Lets sit down na kujenga nchi. Nachelea kusema mijadala hii ya udini zitatufikisha mbali yasijetokea kama ya Rwanda na Burundi. Wenzetu wanafikiria kufanya tafiti za kisayansi katika Sayari mbalimbali sisi tunafikiria udini. Hatuwezi kupata maendeleo kwa kufikiria na kuwaza udini hata siku moja. Lets be innovative for the future of our beloved Country and next Generation.
 
Tanzania's Jakaya Kikwete refused the proposed East African Community anthem saying the song was "too christian".

While other EAC heads of state had no qualms on the tune, Museveni had also refused the song on the grounds that it was "too soft".He said he was a revolutionary and that the regional anthem should take cognisance of the wave of "democratic revolution" sweeping Africa, therefore the beat must be "powerful".

Source: The East African, December 27th 2010

If Kikwete did that, he was very right, East Africa is not for Christians only.
 
Huyu ndiye kiongozi anayehubiri kupinga udini wakati udini ukiwa HAUPO. Yeye ndiye mdini.....hata anthem ya kuwakilisha nchi kadhaa za EAC. Mmmh....hii dhambi itaendelea kumtafuna tu hata akitoka Ikulu.
 
JF imevamiwa na waislamu wenye siasa kali na walokore wa dini ya kikiristo wenye msimamo mkali wa kidini. Wanaharibu jukwaa letu kwa kutazama kila jambo kwa malengo ya kidini bila hata kufikiri zaidi ya hapo.

Kama ningekuwa mods ningewafukuza wote hapa ili tubaki na watanzania halisi.
Unfortunately hii ndio hali halisi kwa sasa, kila hoja inaangaliwa kwa udini kwanza baada ya hapo ndio uzito wake, na ikishindikana ni lazima udini upenyezwe, hii ni kwa dini zote! Ni ajabu sana!
 
siwezi kujadili kwa kuwa wimbo wenyewe siujui na sijasikia, mwenye kujua lyrics zake atuwekee.
 
mimi naamini yupo sawa tu. haiwezekani nyimbo iimbwe kanisani halafu iwe ndio nyimbo ya taifa, haya makosa makubwa kuyaacha, taaleta vurgu kubwa baadae

Let say the story was true, we think that Mr president was right to rise such issue because is a reality. Most of us are trying to deny the fact that religion has became sensitive matter and there is a need to be deat with and not escaping from it as many seem to suggest. If there wasnt a balance or there was a clear sign that the song was propagating christianity in any form, it was unfair for others and this was a kind of discrimanation if you like.
 
Kikwete is most vigourously seeking to sneaking his extremist religious tendencies to the Great Lakes region through the backdoors. In fact, in a nutshell, his excellency pathetically sees almost every other thing in the world through a religious sun-glasses, breathes religion, and employs religion.Yes, this is no kidding here that even if it comes to signing a contract on behalf of the nation the gentleman unpreventably does so in the prisms of religious considerations and leanings, and more so he rides on a religious segregation chariot to his grand dreams in life.
Hana lolote baba Asha, ni udini tu umezidia
 
Nimesoma comments na nimeusikiliza wimbo lkn so far sijaona kitu cha KIKRISTO hapo zaidi ya mahadhi ya CHOIR yanayofanana tu na wimbo wetu wa Taifa. Mwanzo wa mada nilidhani ndani ya huu mwimbo kuna INJILI au Yesu (ambaye ndiye Kristo) ametajwa.

Mambo haya ni ya kipuuzi zaidi ya tunavyodhani. Ipo siku tutaambizana kuwa Mawakili kuvaa Suti ni Ukristo kwa hiyo waanze kuvaa Kanzu. Kama Rais wa nchi ana Inferiority Complexion inamkabili namna hii, vipi kuhusu uneducated ones?

"Ee Mungu nguvu yetu,
ilete baraka kwetu.
Haki iwe ngao na mlinzi,
na tukae na undugu, amani na uhuru,
raha tupate na ustawi.

Mungu ibariki Tanzania,
wabariki viongozi wake,
..........."


Huyu Rais wetu yeye anamuabudu nani kiasi asipende kusikia jina la Mungu? Kuna mtu anaweza kunitajia neno lolote la Kikristo katika huo ubeti hapo, maana zinazofuata ni nyimbo za mataifa yanayounda jumuiya.

Mimi ningemuelewa kama angelalamika kwa nini Tanzania imekuwa ya kwanza kutajwa ilhali yenyewe huwa ya mwisho ktk kila jambo ukiondoa umaskini na rushwa.

Basi na aende Chalinze akawape tenda uimbwe Kikwere au kwa mahadhi ya mchiriku ili uwe wa Kiislamu
 
Back
Top Bottom