Kikosi ambacho ningetamani kukiona uwanjani! Wewe unakionaje? Shusha cha kwako nawe

Sipo

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
2,139
91
First eleven ambayo ningetamani kuiona uwanjani ikitandaza kandanda
1. Claudio taffarel
2. Jorghino
3. Franco baresi
4. Fernando hierro
5. Paolo maldini
6. Luis figo
7. Pep guardiola
8. Diego maradona
9. Zinedine zidane
10. Marco van basten
11. Ruud guillit

substitute kama kungekwapo na sababu ya kufanya hivyo
Peter schmeichel
Ferdnando redondo
Ronaldo de lima
Marcell dessaily
Claude Makelele
Patrick vieira
George weah
Eric cantona
Roberto baggio
 
Wabongo mbona tunapenda copy and paste hiycho ni kikosi alitoa George Haghi alipohojiwa na FIFA
 
Ni kweli inakera kuna Prof. mmoja alimuandikia barua Obama juu ya safari yake Afrika. Lakini kuna jamaa "copy" na kusaini eti kaandika yeye. HATARI TUPU
 
Ni kweli inakera kuna Prof. mmoja alimuandikia barua Obama juu ya safari yake Afrika. Lakini kuna jamaa "copy" na kusaini eti kaandika yeye. HATARI TUPU

Isikukere mkubwa, na kama umenielewa sikusema ni kikosi nilichoki-create mimi. Nimesema kikosi smbacho ningetamani kukiona. Labda nilichokosea ni kuweka source tu.
 
Wabongo mbona tunapenda copy and paste hiycho ni kikosi alitoa George Haghi alipohojiwa na FIFA

Kaka Belo, nimeandika hivi Kikosi ambacho ningetamani kukiona uwanjani. Sijasema ni kikosi kutoka katika mpangilio wangu. Msiwe wa-rahisi kuhukumu bila kuwa na uhakika na malaumu yenu. Nafikiri kosa hapo ni kutoweka source tu. Ila ishu hapa mimi nimekipenda kikosi hiki na ningetamani sana kukiona.
 
First eleven ambayo ningetamani kuiona uwanjani ikitandaza kandanda
1. Claudio taffarel
2. Jorghino
3. Franco baresi
4. Fernando hierro
5. Paolo maldini
6. Luis figo
7. Pep guardiola
8. Diego maradona
9. Zinedine zidane
10. Marco van basten
11. Ruud guillit

substitute kama kungekwapo na sababu ya kufanya hivyo
Peter schmeichel
Ferdnando redondo
Ronaldo de lima
Marcell dessaily
Claude Makelele
Patrick vieira
George weah
Eric cantona
Roberto baggio

Thanks for sticking to the past........ Vipi ungependa kuwaona wakiwa na current ages au vipi???? maana uliowataja wengine washaota na maziwa kwa uzee

Angalia huo mpira utakuwa very slow
 
I hate football coz i dont want to get disappointed in life!

Kuna mtaalam alinambia ushabiki wa mpira unapunguza kwa kiasi kikubwa siku za

maisha ya mshabiki.

So i cross my fingers and silently observe!
 
Wabongo mbona tunapenda copy and paste hiycho ni kikosi alitoa George Haghi alipohojiwa na FIFA

Yeah. Na jamaa amekiri. Gheorghe Hagi (correct spelling) ametaja wengi wa kipindi chake. That's ok.

Kama First eleven of all time (assuming the players at their peak, about 25-30 years) in my opinion haiwezi kumkosa mfalme wa soka PELE.
 
Kaka Belo, nimeandika hivi Kikosi ambacho ningetamani kukiona uwanjani. Sijasema ni kikosi kutoka katika mpangilio wangu. Msiwe wa-rahisi kuhukumu bila kuwa na uhakika na malaumu yenu. Nafikiri kosa hapo ni kutoweka source tu. Ila ishu hapa mimi nimekipenda kikosi hiki na ningetamani sana kukiona.

Unazidi kuboa kwanini usiwe creative na wewe ama wajifanya [ame="http://www.google.co.uk/search?hl=en&client=firefox-a&rls=org.mozilla:en-GB:eek:fficial&hs=bDf&ei=3-pZSpmvJKKqjAeGkPUa&sa=X&oi=spell&resnum=0&ct=result&cd=1&q=george+hagi&spell=1"]george hagi[/ame] hata kwenye fikra zake binafsi? Ungeeleweka kama ungeandika kikosi alichopendekeza [ame="http://www.google.co.uk/search?hl=en&client=firefox-a&rls=org.mozilla:en-GB:eek:fficial&hs=bDf&ei=3-pZSpmvJKKqjAeGkPUa&sa=X&oi=spell&resnum=0&ct=result&cd=1&q=george+hagi&spell=1"]george hagi[/ame] ni nakikubali....acha kujaza longo longo hizi copy and paste zinatuumiza sana....
 
Unazidi kuboa kwanini usiwe creative na wewe ama wajifanya george hagi hata kwenye fikra zake binafsi? Ungeeleweka kama ungeandika kikosi alichopendekeza george hagi ni nakikubali....acha kujaza longo longo hizi copy and paste zinatuumiza sana....

Ndio maana watu wengine wanakufa kwa presha, bado unaboreka tu kijana? relax maisha yenyewe ya kuboreka yako wapi Miganiko. Sorry for you my dear.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom