Kikokotoo kipya kinakatisha tamaa kwa watumishi

PIA IYO HELA SIO KWAMBA IKIIWEKA HAPO INAKAA TUU, INAWEKEZWA.

NA KWA TAARIFA YAKO HIZO ZINAFANYA KITU KINAITWA "COUMPONDING"

MTUMISHI HUYU MWENYE 1.2M KWA MWAKA ATAKUWA AMESHACHANGIA 2,800,000.
HELA HII INAPOWEKEZWA KUANZIA MWAKA WA PILI CHUKULIA IWE INAINGIZA FAIDA YA SHILINGI 30,000 TU KWA MWEZI BAADA YA MWAKA ITAKUWA IMEINGIZA FAIDA YA SHILINGI 360,000. KWA HIYO INAPOFIKA MWISHO WA MWAKA WA PILI MTUMISHI ATAKUWA AMESHACHANGIA (240000X24) +360,000 = 6,120,000/-

KWA HIYO ANAPOANZA MWAKA WA TATU MFUKO UTAKUWA NA MTAJI WA 6,120,000/
IMAGINE HII HELA IWEKEZWE ITOE FAIDA YA 50,000 TU KWA MWEZI MWISHO WA MWAKA FAIDA INAKUWA 600,000 KWA HIYO MWISHO WA MWAKA WA TATU MTUMISHI ATAKUWA AMEWEKA (240000X36)+600000 = 9,240,000/. HII HELA INAENDELEA NA MCHAKOTO HUO HUO KWA MIAKA 30.

HAPO INATOKA HELA NDEFU SANAAAAA. MALIZIA MCHAKATO UONE MWENYEWE KWA MIAKA 30.
hebu fikiria upande wa pili what if sheria ya kuchangia mifuko haipo, ie mwajiri asichangie 10% na mwajiriwa aondoke na 10% yake ukate kodi 30% (3000) huyo mfanyakazi atabaki na 7000=
Sasa hapo nenda kwenye OPPORTUNITY COST ukirudi tutaelewana

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom