Kikao cha Wanaume: Mapitio ya Sheria ya kumpa pesa Mwanamke

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
KIKAO CHA WANAUME.

Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya..

Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae..

Labda kwa shida maalum kama vocha ambayo anakupigia nayo mwenyewe..

Tumependekeza maboresho kadhaa..

Suala la kukutana ni la wote sio upande mmoja, hivyo kama mwanamke atataka kuonana na wewe, hana budi kutumia nauli yake kukufata..

Wakati wa kuondoka unaweza kumpa hela, lakini SIO LAZIMA.

Kikaoni pia tulizungumza kuhusu hela ya kutolea, na muafaka ukawa..

Kama wanataka hela ya kutolea basi waje nyumbani kuifata hela kamili, Tusiwanufaishe maboss wa Tigopesa na M-pesa tusiowajua.

Wale mabingwa wa jibu la "Kuna hela naisikilizia" wameongezwa katika kamati ya wajumbe waweka adhina..

Kila pesa ya chama chetu, itatunzwa na ubahiri wao,.

Adhabu kali itatolewa kwa wanaume wote ambao, walipotongoza na kukataliwa, wakaendelea kuwa na urafiki na mademu hao..

Kama amekukataa, futa namba na aache mazoea..

Sheria ya makosa yasiyosameheka, uhaini na jinai, yametanabaisha yafuatayo.

Kujibu kistaarabu text ya mwanamke anayekutafuta akiwa na shida pekee..

Kutomuazima mwenzio chumba, pale anapotaka kuleta manzi yake..

Kumkandia/ kumuaibisha mwanaume mwenzio, hili upendwe wewe..

Kulalamika, kulialia na kutia huruma inbox pale unapotumiwa text ya kuachwa.

Kumpokea kwa bashasha demu asiyefanana na snapchat yake,

Mwanamke ambaye kwenye edit za picha ni Rihanna, alafu live ni Josh Onyango, inasharutishwa aachwe stand ya daladala..

Upande wa pili..

Wale wadada ambao huwa wanatuambia wapo njiani wanakuja, hivyo kusabababisha sisi tufanye usafi wa kiwango kikubwa..

Na mwisho wa siku hawatokei, imependekezwa tuwaache mara moja bila kujali urembo wao..

Mjumbe aliyekumbwa na hali hii zaidi ya mara 1 aliuliza kwa jazba, "Kama hawawezi kuja gheto, kwenye harusi atakuja kweli?"

Mengineyo

Naomba kuwasilisha
 
Akhsante katibu kwa uwakirishaji murua wa dondoo za kikao kilichoketi, itakuwa vema kupokea pongezi zetu toka kwa mliotuwakilisha Ila itapendeza kama meza yako itaruhusu japo kwa mukhtasari tuchangie hoja, tuulize maswali Kisha tuendelee na mengineyo kwa mtiririko huo kama itakuwa sawia.

Naomba muongozo.
 
Akhsante katibu kwa uwakirishaji murua wa dondoo za kikao kilichoketi, itakuwa vema kupokea pongezi zetu toka kwa mliotuwakilisha Ila itapendeza kama meza yako itaruhusu japo kwa mukhtasari tuchangie hoja, tuulize maswali Kisha tuendelee na mengineyo kwa mtiririko huo kama itakuwa sawia....
Naomba muongozo.
Mnakaribiwa mkuu.... Karibuni sana.
 
KIKAO CHA WANAUME.

Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya..

Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae..

Labda kwa shida maalum kama vocha ambayo anakupigia nayo mwenyewe..

Tumependekeza maboresho kadhaa..

Suala la kukutana ni la wote sio upande mmoja, hivyo kama mwanamke atataka kuonana na wewe, hana budi kutumia nauli yake kukufata..

Wakati wa kuondoka unaweza kumpa hela, lakini SIO LAZIMA.

Kikaoni pia tulizungumza kuhusu hela ya kutolea, na muafaka ukawa..

Kama wanataka hela ya kutolea basi waje nyumbani kuifata hela kamili, Tusiwanufaishe maboss wa Tigopesa na M-pesa tusiowajua.

Wale mabingwa wa jibu la "Kuna hela naisikilizia" wameongezwa katika kamati ya wajumbe waweka adhina..

Kila pesa ya chama chetu, itatunzwa na ubahiri wao,.

Adhabu kali itatolewa kwa wanaume wote ambao, walipotongoza na kukataliwa, wakaendelea kuwa na urafiki na mademu hao..

Kama amekukataa, futa namba na aache mazoea..

Sheria ya makosa yasiyosameheka, uhaini na jinai, yametanabaisha yafuatayo.

Kujibu kistaarabu text ya mwanamke anayekutafuta akiwa na shida pekee..

Kutomuazima mwenzio chumba, pale anapotaka kuleta manzi yake..

Kumkandia/ kumuaibisha mwanaume mwenzio, hili upendwe wewe..

Kulalamika, kulialia na kutia huruma inbox pale unapotumiwa text ya kuachwa.

Kumpokea kwa bashasha demu asiyefanana na snapchat yake,

Mwanamke ambaye kwenye edit za picha ni Rihanna, alafu live ni Josh Onyango, inasharutishwa aachwe stand ya daladala..

Upande wa pili..

Wale wadada ambao huwa wanatuambia wapo njiani wanakuja, hivyo kusabababisha sisi tufanye usafi wa kiwango kikubwa..

Na mwisho wa siku hawatokei, imependekezwa tuwaache mara moja bila kujali urembo wao..

Mjumbe aliyekumbwa na hali hii zaidi ya mara 1 aliuliza kwa jazba, "Kama hawawezi kuja gheto, kwenye harusi atakuja kweli?"

Mengineyo

Naomba kuwasilisha
Sheria zifate mzee

Nakazia Vijana kuhonga ni vocha Tu ya sh 500 akitaka ya elfu Moja aongeza 500 mwenyewe

Asipojibu text zako wiki nzima usimpigie wapigia ndugu zako wazazi Wako kuwajulia Hali na kutatua shida ZAO

Mzee kikao kitakuwa Lini Tena tunataka ratiba ya kikao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa cha kuzingatia...

Kama dem akikukataa hakuna sababu ya kuwa Marafiki.... Futa namba achana naye.. Hakuna Urafiki, atakuwa anakutumia kwa Manufaa yake... Piga chini.
 
KIKAO CHA WANAUME.

Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya..

Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae..

Labda kwa shida maalum kama vocha ambayo anakupigia nayo mwenyewe..

Tumependekeza maboresho kadhaa..

Suala la kukutana ni la wote sio upande mmoja, hivyo kama mwanamke atataka kuonana na wewe, hana budi kutumia nauli yake kukufata..

Wakati wa kuondoka unaweza kumpa hela, lakini SIO LAZIMA.

Kikaoni pia tulizungumza kuhusu hela ya kutolea, na muafaka ukawa..

Kama wanataka hela ya kutolea basi waje nyumbani kuifata hela kamili, Tusiwanufaishe maboss wa Tigopesa na M-pesa tusiowajua.

Wale mabingwa wa jibu la "Kuna hela naisikilizia" wameongezwa katika kamati ya wajumbe waweka adhina..

Kila pesa ya chama chetu, itatunzwa na ubahiri wao,.

Adhabu kali itatolewa kwa wanaume wote ambao, walipotongoza na kukataliwa, wakaendelea kuwa na urafiki na mademu hao..

Kama amekukataa, futa namba na aache mazoea..

Sheria ya makosa yasiyosameheka, uhaini na jinai, yametanabaisha yafuatayo.

Kujibu kistaarabu text ya mwanamke anayekutafuta akiwa na shida pekee..

Kutomuazima mwenzio chumba, pale anapotaka kuleta manzi yake..

Kumkandia/ kumuaibisha mwanaume mwenzio, hili upendwe wewe..

Kulalamika, kulialia na kutia huruma inbox pale unapotumiwa text ya kuachwa.

Kumpokea kwa bashasha demu asiyefanana na snapchat yake,

Mwanamke ambaye kwenye edit za picha ni Rihanna, alafu live ni Josh Onyango, inasharutishwa aachwe stand ya daladala..

Upande wa pili..

Wale wadada ambao huwa wanatuambia wapo njiani wanakuja, hivyo kusabababisha sisi tufanye usafi wa kiwango kikubwa..

Na mwisho wa siku hawatokei, imependekezwa tuwaache mara moja bila kujali urembo wao..

Mjumbe aliyekumbwa na hali hii zaidi ya mara 1 aliuliza kwa jazba, "Kama hawawezi kuja gheto, kwenye harusi atakuja kweli?"

Mengineyo

Naomba kuwasilisha
Ndugu katibu nikupongeze kw uwasilishaji uliotukuka. Sambamba na pongezi zangu, kwa ridhaa yako niombe kuongeza kipengele kwenye makosa ya jinai kwa pande zote mbili kama ifuatavyo...

1. "Pale dem anapokuja geto, mwanachama ahakikishe anahoji kikamilifu na kupata majibu ya kuridhisha juu ya mzunguko wa hedhi wa demu wake. Lengo ni kuhakikisha kuwa, mechi inakua salama na hakuna mimba inapatikana pasipo mipango kwani mimba na wa watoto ni mbinu yao mpya ya kuhakikisha wanahudumiwa kupitia mimba na mtoto. Na kama mwanachama hatajiridhisha na majibu ya demu wake, basi kondom itumike au mechi iahirihwa. Kifungu hiki kinaweza kupuuzwa tu iwapo mwanaume yupo tayari uhudumia mimba na mtoto na yupo tayari kwa hilo"

1. "Kwa upande wa dem, dem ajiridhishe pasi na shaka (beyond resonable doubt) kuwa, mwanaume wake anao uwezo wa kuhudumia mimba, mtoto na dem mwenye, kabla alengeshe mimba kwa mwanachama mwenzetu. Kama demu atabaini kuwa mwanachama mwenzetu hana uwezo wa kufanya hivyo, basi demu alazimishe kutumia kondom, au kuahirisha mechi kama siku hio ni tarehe za hatari (hatutaki ma single mama na watoto wanaolelewa kwa shida kwa sababu ya starehe zenu ili hali watoto ni wageni hapa duniani) Kama dem hata jiridhisha na hili, akatega na akapata mimba, chama hakitakua tayari kusikiliza upuuzi na malalamiko yoyote kutoka kwa single mama huyu mpuuzi"

Nawasilisha...
 
Hii Sheria imekaa poa sanaa
 
Back
Top Bottom