Udhaifu wa serikali yetu unatuponza!Lol they can't be serious on that?why they left us behind. where there is Burundi? Can we form our own cooperation that would involve TANZANIA, DRC and BURUNDI? let them go for good.
I wonder why our president is being sidelined from attending this crucial meeting of economic importance to EAC!
Why has he been ignored?!
I thought all the economic resources in EAC are to benefit us all! Or are there two East African Communities; one for Kenya, Uganda and Rwanda and another for Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania?!
thinking low!!
Mkuu FJM mimi Hapana. Kamwe siwezi kusimama na kumuunga mkono rais wetu kwenye ujinga wake. Aache ujinga na hapo tutamuunga mkono.
Tanzania tuna rasilimali kibao lakini kutwa Kikwete analeta wageni kutoka ulaya, Amerika, China nk. kuja kuvuna kila kitu.
Wacha ashikishwe Adabu ili ajifunze.
kagame na museveni ni madikteta. wamekaa madarakani kwa muda mrefu na hawana mpango wa kustaafu. nchi yetu imeona kuwa DRC ni nchi muhimu kibiashara. kwa sasa hivi hakuna nchi ya afrika mashariki iliyo na barabara nzuri kama TZ. Kenya barabara mbovu sana. waganda, warwanda, wakongo na warundi wanafurika dar kwa kutumia bandari yetu. jambo hili limepunguza mapato ya bandari ya Mombasa. jk ameona kuwa bila amani drc, Tanzania haiwezi kufaidi utajiri wa kongo kibiashara. Rwanda na Uganda wanaivuruga drc ili wakaibe rasilimali zake. jk alipoiomba Rwanda na Uganda kuzungumza na waasi mezani, marais wa nchi hizo walikasirika sana. hawataki utulivu drc. museveni alimuunga uhuru mkono kwa kuishambulia icc. sasa hivi naona kama wanaunda utatu Fulani hivi. tuweke nguvu zetu drc kwa majeshi yetu kurudisha utulivu na amani ktk nchi ile. tuisogeze Burundi karibu. tutashinda!mkuu, bado tuna fursa regardless na maamuzi ya nchi hizo. bado tuna DRC, BURUNGI, CONGO, MSUMBIJI, MALAWI nk. pia hao rwanda ipo siku watajirudi tu maana sisi tunategemea kuanza kuchimba mafuta yetu hivi karibuni
kikwete yupo kwenye federation na nchi za ulaya sababu huko ndo kahamishia maskani yake. mimi nawaunga mkono wakina mseven na kagame sababu wao wanaangalia masilahi ya nchi zao na vizazi vijavyo sio huyu anaye angalia masilahi yake na marafiki zake wakina lowasa na Rostam aziz. mia
Comment yako inaukweli, tatizo ni kwamba makubaliano ya kikao hicho kitakuwa na athari kubwa kwa Tanzania ukizingatia hatukuwa na mwakilishi wetu (JK). Kama taifa tufanye nini ili hizi nchi tatu zisiendelee kuhujumu EAC common agenda? Inavyoonekana wameanza kustreamline uanachama wa Jumuiya wa Afrika Mashariki kutoka nchi tano hadi tatu na wameanza kuunda agenda zitakazohusu nchi tatu badala ya nchi tano. Hili ni janga jingine katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Comment yako inaukweli, tatizo ni kwamba makubaliano ya kikao hicho kitakuwa na athari kubwa kwa Tanzania ukizingatia hatukuwa na mwakilishi wetu (JK). Kama taifa tufanye nini ili hizi nchi tatu zisiendelee kuhujumu EAC common agenda? Inavyoonekana wameanza kustreamline uanachama wa Jumuiya wa Afrika Mashariki kutoka nchi tano hadi tatu na wameanza kuunda agenda zitakazohusu nchi tatu badala ya nchi tano. Hili ni janga jingine katika ukanda wa Afrika Mashariki.
It looks to me like Rwanda might be that nation with very temporary glory. Sifa za kupaisha uchumi haraka zimemvimbisha sana kichwa Kagame. Yoweri naogopa sana kumsema vibaya kwa sababu fulani binafsi; deep in his heart bado Manzese anayo. Anayo mapungufu yake, kama vile kutaka kuwa rais wa Afrika Mashariki. Na usikute wazo la kumkabidhi kipengele cha fast tracking political federation alimpa Kenyatta akijua Yoweri anapenda sana hiyo kitu--to soften him of course--akubali pipeline kupeleka mafuta Kilifi. If they think they gain something from excluding Tanzania, so be it! You can't force a person to like you!
Tukikomaa na Kongo, na SADC kwa ujumla wake, I don't see why the hell East Africa should be that critical. We are not land locked, Kenya na Rwanda watanunua mafuta ya Uganda. Hawatapewa bure. Kwa hiyo tunaweza tu kununua kama wao watavyonunua. Wazo la Pipeline ya Mafuta kutoka uganda kuja somewhere huku kwetu si lazima liwe na malengo ya reveneus from transit exports kama Kenya. Ni wazo la kutumia, na Uganda watafurahi kuunganisha kipipeline kwa ajili ya Mauzo kwetu; which might have implications kwa Kenya in the long run. Lakini, at some point, wao na sisi tutakuja tugundue we needed each other more than the other way round.
But..there really is nothing to worry about kwa sasa. Cha ku-worry about kwa hapa kwetu ni hili la kuwatoa mafisadi serikalini. Hayo mengine yatajipa tu with a respectable government in place.
Dear my fellow Tanzanians, we might have idealogical differences or partisanship which can come and varnish but our beloved country will be there forever.Hivi mnajua Kenya ni number mbili kwa uwekezaji Tanzania ikitanguliwa na UK? East Africa can't move without TZ huu ni ukweli and Museveni na Kagame knows it well, this country is ----ing rich in terms of resources.Marais wa makampuni makubwa kama GE, Boeing wamesema wazi kuwa kuna biashara kubwa watapata toka nchi mbili tu (Tanzania na Mozambique) ya gas turbines ambayo itazidi mapato wanayopata Ulaya(just read HBR on how important and worthy Obama trip to Africa). I know Kikwete doesn't fit as president of this country even his party cannot accommodate these robust changes(political, economic and socially) that happening in our country but the truth will remain-No strong,successful East Africa cooperation without TZ.
mkuu, bado tuna fursa regardless na maamuzi ya nchi hizo. bado tuna DRC, BURUNGI, CONGO, MSUMBIJI, MALAWI nk. pia hao rwanda ipo siku watajirudi tu maana sisi tunategemea kuanza kuchimba mafuta yetu hivi karibuni
Sio hivyto tu, wameona uongozi wetu uwezo wa kufikilia ni mdogo na hawaendani na wakati. Wewe kama swala la uraia pacha wanalifanyia siasa unadhani watakuwa na uwezo kukaa na nchi ambazo zimeruhusu uraia pacha. Inabidi kutumia jicho la tatu kutambua umuhimu wa araia pacha. Viongozi wetu wanatumia macho mawili na kusahau kutmia jicho la tatu, akili.Si hivyo ndugu yangu, story ni ndefu si ya leo wala jana Kikwete akiwa Foreign Minister aliwahi kusema watusi walipe kwa matendo yao ya genocide iliwauzi sana wanyarwanda nafikiri hawajasahau, kingine ni kuhusu EAC kwa Tanzania kukataa kusaini land integration bill wakati Rwanda na Kenya wanaimezea mate ardhi yetu, kingine ni kuona rais wetu haaminiki anathamini sana nchi za mbali kuliko majirani zake, labda na suala la Tanzania kupeleka majeshi yake DRC limewaudhi.