Kikao cha bunge leo wabunge ni wachache mno

Wanabodi,

Kikao cha Bunge kimeanza kwa Spika kutangaza wabunge kusimama kwa kimya cha dakika moja ( a minute silence) kumkumbuka Msanii Stephen Kanumba ambae ametoa mchango mkubwa kukuza tasnia ya Filamu Tanzania!.

This is the highest honor ambayo mtu mwingine yoyote non politician amewahi kuipata!.

Kanumba amepata heshima kubwa inalingana na viongozi wakuu wa kitaifa!.

Nami nakiri rasmi Kanumba is really and trully The Great!.

RIP Kanumba The Great!.
 
This goes into History Memory Lane!
Pasco, una namna yoyote ya kauli, au maandishi yanazoahirisha Bunge kutokana na sababu uliyoitaja?
Tunahitaji hii ili iwe precedence siku za usoni!
 
Huyo ndo Pasco sasa kama mlikuwa hamumjui!'

:heh::heh::heh:
 
Kanumba ametoa mchango mkubwa sana kwenye tasnia ya filamu, ameitangaza Tanzania Duniani kote so anastahili heshima hiyo
 
Pasco, hebu fuatilia kwa nini Joshua Nassari hayupo bungeni mpaka hajala kiapo? Mengine yanabaki kuwa changamoto tu sijui Breaking News au whatever.
 
Wanabodi,

Kikao cha Bunge kimeanza kwa kimya cha dakika moja kumkumbuka Kanumba.

This is the highest honor ambayo mtu mwingine yoyote non politician kuipata!.

Kanumba amepata heshima kubwa inalingana na viongozi wakuu wa kitaifa!.

Nami nakiri rasmi Kanumba is really and trully The Great!.

RIP Kanumba The Great!.

Pasco, vipi kuhusu yule police mkubwa wa enzi hizo yeye kasahaulika maana naye katutoka wiki jana pia? It is almost impossible to believe this kwa kweli.
 
Wanasiasa watu wa ajabu sana. Kanumba katoa mchango wake kwa taifa na sina shida kama bunge limeona ni inafaa kumkumbuka. Ila nilitaka kujua kwa nini bunge halikusimama kumkumbuka Rt IGP Mahundi aliyekufa hivi karibuni? Ki-utawala nani ametoa mchango mkubwa kati ya Mahundi na Kanumba?
 
ambigous language "bunge lasimama"
Yes, bunge lasimama dakika moja kumkumbuka Kanumba!. Usichanganye bunge kusitishwa na bunge kusimama ila nakiri kusimama ni tungo tata nilimaanisha bunge lasimama wima na sio lasimamisha shughuli zake!.
 
Nchi hii bana full vituko......
Hakuna ubaya wa hilo lakini hii inaonyesha nchi hii inaendeshwa na matukio aka fuata upepo
Hivi wanakufa watu muhimu na wazito wangapi
Binafsi sitaki kuamini Kanumba ni zaidi ya IGP mstaafu
 
Back
Top Bottom