Kijiji kilichomrushia mawe JK: "Zitto tuhutubie ama sivyo mawe"..

This is something that can be channeled to proper opposition forms - ka maandamano, ama mayowe wakati wa hotuba, ama..., manake hatutataka wananchi wenye pointi nzuri kutupwa majelani - kisheria.

eniwei, mbona sasa ntaanza kutamba kuwa yule mwandishi mu-Iraki aliyemtupia viatu joji, aliwaiga wa-Mbeya ... hahahaa
 
lakini kuna point muhimu hapa, hawa wananchi wamezinduka toka zindiko la amani yetu idumu milele, ningekuwA MMI ZITO NINGEHUTUBIA HIVI:

NDUGU WANANCHI WATUKUFU WA KANGA, MTAGUNDUA KUWA RAIS WENU NI MTUMISHI WENU MLIYEMWAJIRI KWA KUMPIGIA KURA NA MNAMLIPA MSHAHARA MZURI KILA MWEZI!

SASA MWAJIRI ANAPOAMUA KUMDHARAU TAJIRI YAKE YAANI NDIYE WANANCHI WA KANGA, KWA KUSHINDWA KUWATOLEA KERO ZENU, KWA KUWA HAPA KERO HAMNA ZAHANATI, BARABARA NK, TENA KWA DHARAU KUBWA ANAWAPITA KAMA GARI MOSHI KUWAHI VIMADA MBEYA, MLIKUWA NA NJIA MBILI ZA KWADHIBU

1. KUSUBIRI HADI KIPINDI CHAKE KIISHE MUMNYIME KURA ZENU, INGWA NJIA HII NI YA MUDA MREFU

2. KUONYESHA HASIRA ZENU KWA KUANDAMANA KUSHINIKIZA AJIUZULU, HII NAYO NI NGUMU KWA KUWA SEHEMU KUBWA YA NCHI WASINGEWAUNGA MKONO KWA AJILI YA UNAFIKI WA CCM.

KWA HIYO KITENDO CHA KUAMUA KUUSHAMBULIA MSAFARA ULE KWA MAWE NI SAHIHI KABISA, TENA 100%, KWA KUWA AMEIPATA FRESH KUHUSU HISIA ZENU ATAAMUA MWENYEWE KUJAZA! TENA KWA KITENDO CHENU KILE KINAFANANA NA YULE MWANDISHI WA HABARI WA IRAQ ALIYEAMUA KUMTUPIA GEORGE BUSH KIATU, KWA HIYO NYIE NDO MASHUJAA MLIOBAKI KWA MFANO WA KINJEKITILE NA WENGINE! MDUMU MILELE

Una akili sana wewe nashangaa wamempa mtu siye udaktari huko Kenya badala yako. Mkuu Mwikimbi, kula zote ishirini!
 
Back
Top Bottom