Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

Tembea uone

Nanunua carton 450,000 within a few hours nimemaliza mzigo kwa 700,000 na hapo nauza Bei ya chini Ili mzigo utoke chapchap

Ni mwendo wa kucheza na fast moving products na wholesalers only
Ni bidhaa gani hiyo
 
Naomba namba mkuu.uzamini upo kama utakuwa na wasiwasi.kuna biashara ya mazao,unapiga pesa hatari,pia ninawazo nzuri milioni 5ndani ya miezi 4unapatamilion 22 wastani was chiniwazo zuri naliomba hilo wazoo
Wazo zuri naomba unisaidia hilo wazo
 
Vitu vinawezekana kabisa. Tena kwa mtaji wa mleta mada | Tunachukua Instant funding za $100,000 account mbili tu. | Hapo uhakika kila wiki unalaza milioni 5 | yes milioni tano kwa wiki possible.
=
Muda huu nina entry 3 nasubiria movement London Session
View attachment 2540185
Forex trader forex trader forex trader. Do not invest money which you can not afford to loose.
Sasa jamaa akupe iyo 5M upoteze utapata wapi ya kumlipa? Forex inalipa ndio ilankwa pesa zako mwenyewe, na wengi wenu ata haiwalipi ina wapa hasara ndo mana mnahanganika kupata funds, please take easy anza na mtaji wako ambao ukipoteza haitakugharimu chochote.

Ukiwatumia vizuri hawa prop firm ndani ya mwaka mmoja utakua mbali lakini nakushauri tumia pesa yako na sio ya kukukopa, kuazima au ya mtu mwingine
 
Tembea uone

Nanunua carton 450,000 within a few hours nimemaliza mzigo kwa 700,000 na hapo nauza Bei ya chini Ili mzigo utoke chapchap

Ni mwendo wa kucheza na fast moving products na wholesalers only
Natamani kujua hii biashara
 
Habari, kuna aina nyingi sana za biashara kwa mtaji wako, japo ingefika milion 15 ingependeza zaid, unaweza fungua duka la kuuza malidhafili za kutengenezea chakula cha kuku, kama mashudu ya alizet, mashudu ya pamba , damu,chokaaa, pumba nk, hii biashara inalipa na hizi bidhaa kuna baadhi unafuata mkoani nyingine zipo hapa dar,

Biashara ya pili ni kununua nafaka mikoani na kuja kuuza dar, hasa mahindi hii pia iko vuzuli japo kwa kipindi hiki maindi yapo juu sana lkn unaweza kuvuta subila ikifika mwezi wa 5 unaanza na mahindi ya mtukula kwa milioni kumi inatosha kuna kipindi maindi yanauzwa sh 600 kwa hiyo ukiwa na milioni 10 unakwenda kuchukua tani 15 - 18 na ukija kuuza unapata faida nzuli tu,

Kuna biashara ya kufungua mashine, kiukweli hii ndio biashara ya ndoto yangu , biashara hii imegawanyika makundi 3.

Unafungua mashine kwa ajili ya kusaga vipeto vya watu tu, hii kwa cku hukosi kuanzia 20-50 kutokana na eneo ulilopo lkn unawez kuwa na mashine ndogo kama SB 30 kwa ajili ya kukoboa mpunga kwa watumiaji wa chini biashara hii ni nzuli sana kwa nje ya dar.

Biashara nyingine ni kufungua mashine ya kusaga sembe hii unaweza kufanya hapa dar tena ukiwa na mtaji mzuuuli unachofanya unafungua mashine yako unaleta mahindi kutoka shamba unakoboa kwa mashine yako, , kuna wale wasiokuwa na mashine watakuja kukoboa kwako lkn pia kama unamtaji wa kutosha unawakopesha mahindi wajasiliamali wadogo pale pale mashineni wanasaga wanauza sembe wanakulipa pesa yako.

Baishara ya tatu ni kufungua mashine ya kukoboa mpunga ,hii inakuwa ya kukoboa mpunga tu, unanuna SB 50 unafunga mahali pazuuli kisha unakuwa na stoo kuuubwa ya kuhifadhia mpunga ,wakulima wanaleta mpunga kwako wahifadhi kisha ukifika msimu wanakoboa, lkn pia wafanya biashara wanakuja hako kukoboa na kununua mchele hii ni nzuli sana, karibu mp boss,
Mawazo mazuri.
 
Nina mawazo kabambe ya pesa ndefu. Sina tuu mitaji. Mimi nina kiwanda cha mawazo chanya na unique. Kila kitu kimekuwa documented na some processes zimeshaanza nimekwamia njiani. So mwenye mpunga wake anicheki chap tufanye biashara.
 
Nina mawazo kabambe ya pesa ndefu. Sina tuu mitaji. Mimi ni kiwanda cha mawazo chanya na unique. Kila kitu kimekuwa documented na some processes zimeshaanza nimekwamia njiani. So mwenye mpunga wake anicheki chap tufanye biashara.
Pesa kiasi gani?
 
Mkuu Mimi nakushauri ufungue Steshenari, hii inafaida kubwa sana,haina stress za vitu au bidhaa kuisha muda wake,

Mchanganuo wake uko hivi,printer nzuri ni ya Epson ambayo ni L850 bei yake ni 850,000 Hadi 1,000,000 ,photocopy mashine ina-range kuanzia 1,000,000 Hadi 2,000,000

Bidhaa mfano limu moja ina uwezo wa kukuingizia Hadi shilingi 50,000 hii ni minimum ikiwa utatoa kopi tu,bado kusafisha picha ,4x6 ni sh 200 Hadi 300,kwenye box moja zimo karatasi 100

Hii ni kwa ufupi mkuu,
Kweli?? Kumbe steshenari inalipa hivi? Maeneo gani sasa? Na miezi gani ndo kazi zinakuwa nyingi?
 
Forex n risky mkuu yaan kama mtu ana hiyo hela tu ndo anaitegemea si vizuri kumshaur kuhusu fx maana mda wowote hela inapotea

Mwl.RCT
Rejea kwenye hoja ya msingi, Je unamshauri nini mleta mada!!!!!!!, wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo ana hakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe afanye hiyo Biashara mwenyewe; (faida watagawana kwa makubaliano)

Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
 
Still bado hujatushirikisha

Rejea Hoja ya uzi ni hii | wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

Je wewe binafsi una wazo gani? Tushirikishe ili tujifunze kutoka kwako, labia majora
Hoja ya msingi hapo fx tuitoea tusubiri waje wenye idea ambazo risk yake ni afadhali kulinganisha na fx
 
Aje mbinga tulime parachichi baada ya miaka 3 tunavuna
=
Najazia
=
Kilimo cha parachichi kinaweza kuwa biashara yenye faida kubwa ikiwa itafanywa kwa uangalifu na kwa njia bora. Hapa ni baadhi ya mambo ya kuzingatia na faida za kilimo cha parachichi kwa kipindi cha miaka mitatu:

1. Sifa nzuri ya parachichi: Parachichi ina sifa nzuri kwa sababu ya ladha yake nzuri na lishe iliyomo. Hii inafanya kuwa na soko kubwa na inaweza kuleta faida nzuri kwa mkulima.

2. Uwezekano wa kukomaa na kuvuna haraka: Parachichi inachukua takriban miezi 18 hadi 24 kukomaa na kuiva. Hii inamaanisha kwamba mkulima anaweza kuvuna mara mbili kwa mwaka, ikimaanisha kwamba kwa kipindi cha miaka mitatu, mkulima anaweza kuvuna hadi mara sita.

3. Mahitaji ya chini ya maji: Parachichi inahitaji maji kidogo sana kuliko mazao mengine ya matunda. Kwa hiyo, mkulima anaweza kupata faida bora kwa kupunguza gharama za maji.

4. Soko kubwa: Parachichi ina soko kubwa sana katika nchi nyingi, ikiwa ni pamoja na nchi za Ulaya na Marekani. Hii inamaanisha kwamba mkulima anaweza kupata faida nzuri kwa kuuza parachichi kwa bei nzuri.

5. Uwezekano wa kutumia teknolojia ya kisasa: Teknolojia ya kisasa inaweza kuongeza uzalishaji na kupunguza gharama za uzalishaji kwa mkulima wa parachichi.

Kwa ujumla, kilimo cha parachichi kinaweza kuwa biashara yenye faida kubwa kwa mkulima kwa kipindi cha miaka mitatu ikiwa atazingatia mambo kama vile kuzalisha mazao bora, kupunguza gharama za uzalishaji, na kutumia teknolojia ya kisasa.

=
My take | Kila aina ya investment ina faida na hasara, Ni wajibu wako kufanya tafiti yakinifu, labia majora
 
Imetoka ChatGPT hii
 
Back
Top Bottom