Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

Tembea uone

Nanunua carton 450,000 within a few hours nimemaliza mzigo kwa 700,000 na hapo nauza Bei ya chini Ili mzigo utoke chapchap

Ni mwendo wa kucheza na fast moving products na wholesalers only
Mkuu tafadhali ainisha basi kwa sisi tunaojitafuta tuingie huko.
 
Carton za kitu gani mkuu unamaliza fasta bila additional cost
Tembea uone

Nanunua carton 450,000 within a few hours nimemaliza mzigo kwa 700,000 na hapo nauza Bei ya chini Ili mzigo utoke chapchap

Ni mwendo wa kucheza na fast moving products na wholesalers only
 
Sasa jifunze hili.
- 2.5M itakuwa converted na kuwa US $5,000 , Hii Dola $5,000 ambayo ni 5% Daily Drawdown ya $100,000 account utakayopewa ku_trade na prop firm utakayochagua.

Ukibadili $5,000 kuwa TZS utapata TZS 11,500,000, Yes 11.5M hiki ndicho kiasi unachopewa ku_trade kwa siku, maana hiyo ndio DD ya 5% ya $100,000 kwa account utakayopewa.

Angalia hapa baadhi ya Prop firm.
Code:
https://docs.google.com/spreadsheets/d/1U0M8mZBnGMa9NQoC6o6qaYphTbM58T28_2LgDbBVfrw/edit#gid=0
View attachment 2541308
Ndugu Fernando Wolle , Kwa upande wako, jirekebishe na utumie busara, Ukiona kitu ambacho hakina maana kwako, badala ya kutumia neno "UONGO", omba ufafanuzi au maelekezo zaidi ili uweze kujifunza.

Trading ndio biashara pekee ambayo utatumia mtaji mdogo kuweza kupata faida kubwa, iwapo tu unafahamu nini unachotakiwa kufanya.
==
View attachment 2542641
1679056054862.png
 
Tembea uone

Nanunua carton 450,000 within a few hours nimemaliza mzigo kwa 700,000 na hapo nauza Bei ya chini Ili mzigo utoke chapchap

Ni mwendo wa kucheza na fast moving products na wholesalers only
Carton za nini hz unanunua
 
Kama ipo 10M, njoo tubadilishe dunia kwenye upande wa kilimo na ufugaji kwa kutengeneza app ambayo itasaidia watz kuuza na kununua malighafi itokanayo na kilimo na ufuagji nchi nzima na east africa kwa ujumla.

Kupitia app hii tutaweza kuisaidia serikali kwa upande wa ajira kwa kuajiri wataalam wa kilimo na ufugaji pia nakutoa elimu kwa wakulima na wafugaji kwa urahisi zaidi nchi nzima.

Njoo tuingize pesa tukiwa tumelala...
Kvp brow mbn tunatamanishana wakati tunafanyabiashara hata laki mbili hatupati kwa mwezi
 
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo ana hakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe afanye hiyo Biashara mwenyewe; (faida watagawana kwa makubaliano)

Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
Njoo na hiyo 10m. Mimi utanilipa consultation fee na kazi ya supplying mzigo ni yangu. 150 to 200k profit per week ni uhakika
 
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo ana hakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe afanye hiyo Biashara mwenyewe; (faida watagawana kwa makubaliano)

Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
Naomba namba mkuu, udhamini upo kama utakuwa na wasiwasi. Kuna biashara ya mazao, unapiga pesa hatari, pia nina wazo zuri milioni 5 ndani ya miezi 4 unapata milioni 22 wastani wa chini.
 
Naomba namba mkuu.uzamini upo kama utakuwa na wasiwasi.kuna biashara ya mazao,unapiga pesa hatari,pia ninawazo nzuri milioni 5ndani ya miezi 4unapatamilion 22 wastani was chini
Kiongozi weka wazo tu hapa public, Huu Uzi una watazamaji wengi ni wanaufatilia unaweza kukuta na wengine wengi Wana huo mtaji ila wanafatilia kupata wazo hapa.

Unaweza kuweka ideas watu wakapenda wanakutafuta PM. Wasaidie wengine pia wapate mawazo chanya.
 
Back
Top Bottom